Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Usisahau populations ya Dodoma almost ni mara 2 ya population ya Arusha (kimkoa?) Labda kwa umaskini dodoma itaizidi Arusha nothing else sijisifii naongea ukweli mkuu dodoma bado sana kuleni tu ubuyu πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
 
U
Umetoa wapi izi takataka mkuu naomna source hahahahah
 
Nimetoa matraakoni kwako..

Wewe umeona gazeti limenukuu taarifa za NBS afu unauliza ujinga
Mkuu mbona una jazba πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ hahaha hiyo ni rate ya growth sio largest GDP kaangalie walichonacho NBS utashangaa
 
Ukweli usemwe ile style ya dodoma kupaka rangi paa za nyumba kulingana na mitaa imevutia sana na kuleta mandhari nzuri ya mji imagine mabatini mwanza au ngarenaro arusha pangekua vile miji yetu inapanuka tu hujui hata maafisa mipango miji kama wapovdodoma chukua kongole kwa hili sio 2039 kama ulivosema baada ya miaka 5 tu projects nyingi zikikamilika na ukuaji unavoenda kwa mpangilio dodoma itakua bonge la mji wa mfano kwa Tanzania hii tutaenda kuchkua notes dodoma ya namna mji unapaswa kua
 
Wewe si ndio ulikuwa unasema mara Dom Haina vivutio mara sijui nini yaani blaa blaa kibao.

Takwimu za uwekezaji Kwa robo ya 3 Dom imezidi kina Mwanza and the likes πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wewe si ndio ulikuwa unasema mara Dom Haina vivutio mara sijui nini yaani blaa blaa kibao.

Takwimu za uwekezaji Kwa robo ya 3 Dom imezidi kina Mwanza and the likes πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2992497


Takwimu zenye kuaminika ni hizi
 
Dodoma itakua na mvuto na mpangilio ila kuikuta mwanza jidanganyeni ngoja nimwite ndugu yangu Kitombile
Haiwezi kuifikia labda kwenye population tu manake kanda ya ziwa wanazaliana sana...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mvuto na mpangilio wa Dom haujaanza leo umeanza tangu kuanzishwa kwa CDA 1973
 
Haiwezi kuifikia labda kwenye population tu manake kanda ya ziwa wanazaliana sana...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mvuto na mpangilio wa Dom haujaanza leo umeanza tangu kuanzishwa kwa CDA 1973
Hata kwenye population Mwanza itapitwa tuu by 2032-35 Kwa kuzingatia growth rate iliyoko Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…