ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Usisahau populations ya Dodoma almost ni mara 2 ya population ya Arusha (kimkoa?) Labda kwa umaskini dodoma itaizidi Arusha nothing else sijisifii naongea ukweli mkuu dodoma bado sana kuleni tu ubuyu 😄 🤣 😂 😆 😄Huko shule ulienda kusoma ujinga eti....ndiomana huwa nakwambia uende Facebook ukabishane humu hupawezi😆😆....title ya thread ni Dodoma CC vs Arusha CC sio Dodoma RC vs Arusha RC.
Kama vp anzisha thread mpya ya kushindanisha mkoa wa Dodoma (wenye halmashauri 8) vs mkoa wa Arusha (na halmashauri zake 7)