Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Wewe unaonyesha ni mtu unayetembea 👏 shida ya Arusha ni miundombinu tu in the near future naamini Arusha ikipata miundombinu sahihi utakua ndio mji pekee wa kuiwakilisha nchi bila kusahau uzuri wa hali ya hewa inayovutia kwa wageni
 
Umesoma vizuri!?
Unaposema kuwa majengo ya blue Dodoma sio muda itaipita Dar it means Arusha ambayo iko vizuri kuliko DODOMA nayo iko vizuri kuliko Dar es Salaam.
 
Umesoma vizuri!?
Unaposema kuwa majengo ya blue Dodoma sio muda itaipita Dar it means Arusha ambayo iko vizuri kuliko DODOMA nayo iko vizuri kuliko Dar es Salaam.
Wewe ndio ulioleta mada za kujengeka na majengo hayo
 
Kwani Dodoma inahitaji mambo ya hospitality Ina Utalii? Dom inalinganishwa Kwa mambo mengine kama Kasi ya Ukuaji wa Mji,Mipango Miji,Ukubwa wa Jiji,Majengo na Makazi ya Kisasa, miundombinu Bora nk.

Sasa Kwa mambo hayo Arusha is Slum inawezaje kuikaribia Dodoma?👇👇

View: https://youtu.be/qgTZFTc7oSo?si=Yl2OAn1v1X8A1Tlx
 
Wewe unaonyesha ni mtu unayetembea 👏 shida ya Arusha ni miundombinu tu in the near future naamini Arusha ikipata miundombinu sahihi utakua ndio mji pekee wa kuiwakilisha nchi bila kusahau uzuri wa hali ya hewa inayovutia kwa wageni
Miundombinu mpate kutoka wapi? AFCON ikipita hamjapata basi hesabuni imewakata
 
Wakati mnabishana kuhusu hospitality,Dom the Capital City is on 🔥🔥👇👇
 
Umesoma vizuri!?
Unaposema kuwa majengo ya blue Dodoma sio muda itaipita Dar it means Arusha ambayo iko vizuri kuliko DODOMA nayo iko vizuri kuliko Dar es Salaam.
Acha upotoshaji,Arusha haijawahi na haitakuja kuwahi kuipita Dodoma unless unazuzuka na Yale majengo marefu ya Serikali.

Samia housing Scheme kujenga Magorofa 1,000(20%) Dom pekee ,harafu wewe unaongea nini? 👇👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1808487862762926398?t=Bw-ny_IDD9fg_RsYIPIc7g&s=19
View: https://twitter.com/twendenamama/status/1808488012637934001?t=4L2qEOA8zsgJJ_VIJJ7LuA&s=19
 
Wagogo mna shida sana.
Kipindi Arusha inaitwa jiji Dodoma haikua na hadhi ya kuitwa jiji.
Wagogo mna tabuuuu.
 
Na hiyo Dodoma si kwasababu ni capital city ndio maana!?
Isingekuwa mji mkuu ungeona ufukara wake.
Mji wenyewe unajengwa hapo hapo tu.Nenda nje ya CC uone huo ufukara.
Hivyo hivyo,hata Arusha si ni Capital City ya EAC au? 😁😁

Arusha huko Nje ya Mji kumejaa mabanda ya nguruwe tena ya udongo.

Excuses hazitawasaidia nyie masai.Bado hujasema Hadi useme 👇👇

View: https://youtu.be/55l2y4uIaUY?si=RbsS-8pUlb1Rlxw7
My Take: Mind you hiyo ni phase 1 tuu.Kazi nzuri ya Samia haitakuja kufutika
 
Hizo wanajenga kila mkoa wameanza na mbeya na dodoma awamu ya pili wanapiga moro na arusha
Msitutishe bhana
Wanajenga Kila Kanda ila Kwa hadhi tofauti.

Uwanja wa Dodoma na Mbeya ni viwanja vya Maonesho vya Kimataifa,hivyo vya kwenu ni vya Kanda 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…