Kwa mtu aliyetembea na mwenye exposure, Huwezi linganisha Arusha na Dodoma. Wala hata Dar es salaam haifiki Arusha., kwa viwango vya hospitality. Hospitality ya Arusha….inaelekea viwango vya Nairobi. Hata ukienda hotelini, menu ya Arusha ni kiwango. Hata accommodation, Usafi, wahudumu kujielewa, …Kiufupi Dodoma kufikia viwango vya Arusha badooo sana. Siyo leo wala kesho. Ukienda Arusha ukaagiza hata stake….ni misosi kiwango.
Ila kama tunaangalia maghorofa ya vioo, basi nadhani Dodoma very soon ataipita hata Dar.