Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mbona sijaona hicho unachoita Mke ya Mji? Kwani kutoka Mtumba Hadi mjini wapi hakuna makazi?

Mwisho hiyo ni gharama ya kukamilisha Kwa Kila kitu ,Sasa hapo hata nusu Bado kufikia.
 
📌📌🔨 Kwa Mkuu Kwa Dom Bado hujasema Hadi useme 😆😆😆👇👇

View: https://twitter.com/HusseinBashe/status/1821537612022063402?t=iMQtvpTK96vMEr3nf-R38w&s=19
 
japo ni nje sana ya mji
duuh unachekesha sana na inaonesha wazi umesimuliwa tu...Kwa sasa kutoka Dom City Center hadi Ikulu ambayo kiutawala eneo kubwa lipo wilaya ya Chamwino unafika kwa dakika 30 .Dom maeneo ya nje ya mji labda utaje Hombolo,Mpunguzi,Zuzu(kwa Pinda), Bihawana n.k
 
Kuwa mjinga alafu unaconfidence inacost sana ase 😢
 
Utofauti wa Dom na miji mingine ni kuwa umepangwa na kupangika...hakuna majenzi holela!
Miji haipangi kwa kuzagaa kama mkeka sikuiz miji inaenda juu walioplan dar ndio walikua sahihi waswahili ndio walikuja kuharibu badae kuanzia magomeni majenzi holela yakaanza ila wabongo walioplan dodoma ndio planners wa hovyo kuwah kutokea duniani tatizo hatutoki tuone miji ya wenzetu waliofanikiwa ilivyo
 
Kwa hiyo Kila sehemu ni CBD Hadi iende Juu? 🤣🤣

Excuses hazitawasaidia mbele ya Dom the HQ
 
Kuwa mjinga alafu unaconfidence inacost sana ase 😢
Wewe Jamaa ni mbishi sana,nilikuuliza ni wapi hakuna makazi kati ya Chamwino-CBD? Yaani Morogoro Road ndio isiwe na makazi wakati ndio Iko na development?

Au huijui Dom au ukifika experienve life ya Dom the HQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…