Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa 🤝Hii thread ni ya arusha vs dodoma chief
Sawa 🤝Kuna thread za Arusha vs Mwanza Itafute ukachangie huko.
Humu ni Dom vs Arusha
Mbona sijaona hicho unachoita Mke ya Mji? Kwani kutoka Mtumba Hadi mjini wapi hakuna makazi?Sasa kama huu utopolo umejengwa kwa trillion 10 arusha si itakua na thamani ya trillion 10000 sasa 🤔
Anyway sio mbaya atleast barabara ni pana japo ni nje sana ya mji
Ila baada ya miaka 5 had 10 itapata muunganiko mzuri zaidi
Ila kuifikia arusha mnajifarijigi tu atleast miaka 30 arusha isijengwe chochote ndio mtaifkia
📌📌🔨 Kwa Mkuu Kwa Dom Bado hujasema Hadi useme 😆😆😆👇👇Sasa kama huu utopolo umejengwa kwa trillion 10 arusha si itakua na thamani ya trillion 10000 sasa 🤔
Anyway sio mbaya atleast barabara ni pana japo ni nje sana ya mji
Ila baada ya miaka 5 had 10 itapata muunganiko mzuri zaidi
Ila kuifikia arusha mnajifarijigi tu atleast miaka 30 arusha isijengwe chochote ndio mtaifkia
Yanaloana mamna hii🔥🔥👇👇Kwani masikini akipata matako huliaje???
duuh unachekesha sana na inaonesha wazi umesimuliwa tu...Kwa sasa kutoka Dom City Center hadi Ikulu ambayo kiutawala eneo kubwa lipo wilaya ya Chamwino unafika kwa dakika 30 .Dom maeneo ya nje ya mji labda utaje Hombolo,Mpunguzi,Zuzu(kwa Pinda), Bihawana n.kjapo ni nje sana ya mji
Kuwa mjinga alafu unaconfidence inacost sana ase 😢duuh unachekesha sana na inaonesha wazi umesimuliwa tu...Kwa sasa kutoka Dom City Center hadi Ikulu ambayo kiutawala eneo kubwa lipo wilaya ya Chamwino unafika kwa dakika 30 .Dom maeneo ya nje ya mji labda utaje Hombolo,Mpunguzi,Zuzu(kwa Pinda), Bihawana n.k
Miji haipangi kwa kuzagaa kama mkeka sikuiz miji inaenda juu walioplan dar ndio walikua sahihi waswahili ndio walikuja kuharibu badae kuanzia magomeni majenzi holela yakaanza ila wabongo walioplan dodoma ndio planners wa hovyo kuwah kutokea duniani tatizo hatutoki tuone miji ya wenzetu waliofanikiwa ilivyoUtofauti wa Dom na miji mingine ni kuwa umepangwa na kupangika...hakuna majenzi holela!
Kwa hiyo Kila sehemu ni CBD Hadi iende Juu? 🤣🤣Miji haipangi kwa kuzagaa kama mkeka sikuiz miji inaenda juu walioplan dar ndio walikua sahihi waswahili ndio walikuja kuharibu badae kuanzia magomeni majenzi holela yakaanza ila wabongo walioplan dodoma ndio planners wa hovyo kuwah kutokea duniani tatizo hatutoki tuone miji ya wenzetu waliofanikiwa ilivyo
Wewe Jamaa ni mbishi sana,nilikuuliza ni wapi hakuna makazi kati ya Chamwino-CBD? Yaani Morogoro Road ndio isiwe na makazi wakati ndio Iko na development?Kuwa mjinga alafu unaconfidence inacost sana ase 😢
Imagine hii ndio ingekua capital city yetu😍
Mkaamua mpeleke jangwani alafu mteketeze hela kupanda miti haya sawa🤫🤠
View: https://x.com/OJMLux_natureTz/status/1821553381380436252