Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Wewe jamaa unachekesha sana yawezekana tunabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom labda ulikatisha tu kwenye basi wakati unaenda mkoani kwakoπŸ˜€πŸ˜€. Kwa kukusaidia tu eneo kubwa la Magufuli City lilichukuliwa kutoka kambi ya jeshi Ihumwa.
Najua hujui kuwa eneo la Tambukareli karibu na City Centre zimejengwa ofisi nyingi za serikali kuanzia BOT hq,Hazina,NHIF,PPRA,OSHA,UHAMIAJI,MAHAKAMA KUU,NBS TAKWIMU,ERB,JAKAYA KIKWETE CONVENTION CENTRE,PHARMACY COUNCIL OF TANZANIA,TANESCO hq,REA hq na listi inaendelea kilasiku yanajengwa maghorofa pale.
Ukija Njedengwa Investment Area kuna maghorofa yanajengwa kuanzia TCRA hq,TANROADS hq,Tume ya Taifa ya Uchaguzi, UCSAF,TBS hq n.k

Sasa wewe umekariri tu eti ofisi zote za serikali zipo Mtumba ...jitahidi kuficha ujinga wako ndiomana nilikushauri nenda facebook ndio ukafanye ubishi usio na facts wala hojaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajua maana ya Satellite City kwanza?

Harafu unadai hakuna makazi,hiki ni nini? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C9MNTgpI_pp/?igsh=enVhYXEzcHkzMXZ3
 
Muonekano wa mlima kilimanjaro mlima mrefu afrika na mrefu duniani juu ya usawa wa bahari πŸ“Έ picha imepigwa kutokea arusha National Park km 20 tu kutokea arusha cbd
Siku arusha ikipata uwekezaji wa maana tanzania itakua tajiriπŸ˜ƒ badala mtuombee endeleeni kukasirika tu wanaume tuko busy kuwataftia kipato muendelee kujenga magofu

View: https://x.com/MartinW93129709/status/1822208659100774849
 
Hoja yangu ni kugawanya gawanya mji kama chapatiπŸ˜ƒ miji yote duniani wanapambana kufanya miji iwe midogo kwa kujenga majengo marefu ili watu wote wawe eneo dogo kurahisisha huduma nyie mnadhan mji kuwa mpana ni sifaπŸ˜„ ona sasa mnatengeneza mji kila mahali
Imagine dodoma ina eneo kubwa kuliko dubai, London, Paris yani dodoma ina eneo mara tatu zaidi ya nchi ya Singapore kichekeshoπŸ˜„
Ili mjipe ukubwa feki kujionesha kwamba na nyie et mko level za mwanza na arusha
Ni bora mara Mia mngeajiri kandarasi ya nje ifanye planning kabla ya ujenzi
Urban planning ni issue very sensitive ukikosea unaharibu mji na uchumi kuna watu wengi nnaowajua wanaolalamika dodoma biashara ni ngumu sana licha ya uwekezaji unaofanyika
Hata kwa bongo hii fanya utafiti mdogo tu miji yote ambayo ilipangwa sana ilikufa kifo cha mende ile ambayo serikali ilijisahau haikupangwa ikapaa kwa spidi ya ajabu
Angalia miji kama tabora, sumbawanga, tanga na musoma iliyokua mikubwa kipind kile kiko wapi
Shinyanga vs kahama
Geita vs katoro
Njombe vs makambako
Moshi vs arusha
Lindi vs mtwara
Wabongo huwa mnaangalia namna rahisi ya kufanya vitu
Pale ilikua ni kuvunjwa tu cbd kote kujenga upya Korea uko miji kibao wanapiga bomu wanaanza ujenzi upya
Dodoma ilikua inatengeneza downtown ya maana sana kila kitu kingejengwa cbd hebu ona kama dubai mngeweza kutengeneza barabara moja tu mnatengeneza skyscraper za maana kigali hiyo mnayoisifia ina ukubwa wa kmsq 300 tu chunguza picha za kigali ni zile zile ni eneo moja tu kila siku usidhan ni kubwa saana hata nairobi chunguza mnatengeneza sehemu moja tu inakaa kimataifa kama mtu ukienda Paris kila mtu anafkia eiffel Tower mambo ni mengi watu hawana mda wa kupoteza sio mtu anakuja dodoma umpeleke mjini umuambie tena baada ya km20 kuna mnara sijui wa mashujaa mara umuambie sijui ndejengwa kuna majengo tena ni kichekesho kitu kinaitwa branding tunafeligi skuzote
Msingekua mnahangaika kuita wawekezaji wangefurika wenyew
Spid ya uwekezaji dodoma imepungua tangu mwendazake atangulie
Hii ndio ilikua chance yenu ya kipekee atleast kutengeneza gap la kudumu kwa mwanza na arusha

View: https://x.com/Wizdomtz/status/1822162825181102239
 
Umeona hiyo Swax? Mji unatakiwa kuwa hivyo sio kama dampo la Arusha na Mwanza πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/Avem1797/status/1822241011847868893?t=wVSqU2BeOquyHIQlDhvelA&s=19
 
Ila kiukweli pamepangwa wanastendi yao mpya ambayo arusha hatujafkiria kuijenga kama mzaliwa wa swax najivunia kwetu πŸ‘ na sasa hiv uwanja wa ndege unajengwa tutakua tunateleza tu
Kumbe wewe ni mfipa uliyekimbia kwenu unatetea hao wakuda wa mbauda 🀣🀣🀣🀣
 
Hoja Yako ni majengo tuu? Majango marefu ya Arusha ni ya Wananchi? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe Kitombile unachunguliaga battle letu la dom vs chuga🀣🀣 sasa hapa uko Tim gani mkuu au shida yako wote tupotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…