Wewe jamaa unachekesha sana yawezekana tunabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom labda ulikatisha tu kwenye basi wakati unaenda mkoani kwako😀😀. Kwa kukusaidia tu eneo kubwa la Magufuli City lilichukuliwa kutoka kambi ya jeshi Ihumwa.Mji unatanuliwa na watu bhana sio mkajenge nyumba sehemu haina watu unadhan hao watu watatoka wap watatoka hapo hapo dodoma waende mtumba we unazan waliojenga bunge mjini kwann wasingejenga nje ya mji au hujui dodoma kinachowapeleka watu ni ofisi za serikali yani dodoma ni mji wa kiserikali sasa badala uuboreshe unaenda kujenga mji mwingine wa kiserikali nje ya mji 😀
Mi nawaambia ule ulikua mradi tu wa mtu kuuza mashamba yake
Alaf nmeshawaambia kwa vile mmeshakosea hebu nunueni vijumba vyote karibu na mtumba na karibu na ikulu chamwino pale mjenge mijengo ya maana mkishindwa mpaache wazi hivo hivo msitie nchi aibu kwa vijumba vya ovyo
Najua hujui kuwa eneo la Tambukareli karibu na City Centre zimejengwa ofisi nyingi za serikali kuanzia BOT hq,Hazina,NHIF,PPRA,OSHA,UHAMIAJI,MAHAKAMA KUU,NBS TAKWIMU,ERB,JAKAYA KIKWETE CONVENTION CENTRE,PHARMACY COUNCIL OF TANZANIA,TANESCO hq,REA hq na listi inaendelea kilasiku yanajengwa maghorofa pale.
Ukija Njedengwa Investment Area kuna maghorofa yanajengwa kuanzia TCRA hq,TANROADS hq,Tume ya Taifa ya Uchaguzi, UCSAF,TBS hq n.k
Sasa wewe umekariri tu eti ofisi zote za serikali zipo Mtumba ...jitahidi kuficha ujinga wako ndiomana nilikushauri nenda facebook ndio ukafanye ubishi usio na facts wala hoja😂😂