UMEKURUPUKA RUDI FACEBOOK Tittle ya thread ni Dodoma City vs Arusha City sio Dodoma Region vs Arusha Region.Nyie nyie Watu dodoma Bado Sana hebu tuwe serious
Mimi nimefika dodoma wilaya zoteeee Jamani Hawa Watu Wana Hali mbayaaa .
Dodoma pazuri ni hapa tu dodoma Jiji,na chamwino kungine hukooo Kuna umasikini Wa kiwango kisichomithilika
Dodoma hii ukifika saa mji umepoa km Tuko nchi zenye vita mweeee ..
Ukitoa SouthAfrica kusini mwa Jangwa la Sahara hii kitu inapatikana only and exclusively in Dodoma alafu unasema wapo nyuma kwenye Kilimo 😀😀😀.Hawa jamaa Ardhi yao imebarikiwa sana tuache unafiki.Duh! Wee jamaaa, Upande wa kilimo Dom unaweza ilinganisha na Mwanza?
Kwa upande wa madini ya dhahabu kanda ya ziwa ni kama misikiti Zanzibar, sehemu zote zina madini sjui kama unajua kuwa 80% ya mkoa wa Geita ni dhahabu, Sengerema kunajengwa mgodi mkubwa kuliko ule wa GGM, Mara kuna mgodi mkubwa wa North Mara, Kahama ina migodi mikubwa zaidi ya miwili, Mwadui ina almasi, Biharamulo nk sehemu zote hizo zinainufaisha Mwanza
Upande wa viwanda ikikitoa kiwanda cha magodoro QFL na kile kimoja cha zabibu Dom ina kiwanda gani kingine? Cha mbolea ni mkakati hakijaanza hata kujengwa,
Wakati Mwanza ina viwanda vya samaki vikubwa zaidi ya vinne, SBC wanafyatua soda za pepsi Mwanza, Cocacola wanafyatua soda Mwanza, Sayona pia,, sjui kama unajua Mwanza nondo hawaagizi Dar, Sjui kama unajua bia zote pia Mwanza hawaagizi Dar
Upande wa sekta binafsi Mwanza huwezi ilinganisha na Dom hata kidogo
Arusha kwa bata Mwanza inaachwa mbali. Nikipata mchongo alafu w'end inikute Arusha huwa najua balaa lake kulinganisha na Mwanza.Starehe zipi...?! Ujanja upi...?! Mwanza naijua ni balaa... na Arusha naijua yote Wilaya zote...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hata Dodoma city na Arusha city, Bado Dodoma Pa hovyo sana bwanaaaUMEKURUPUKA RUDI FACEBOOK Tittle ya thread ni Dodoma City vs Arusha City sio Dodoma Region vs Arusha Region.
true, hadi huduma kwenye baadhi ya sehemu za kula ziko tofauti sana na mikoa mingine, kuanzia radha ya chakula, namna wanavyomu attend mteja yaani ni tofauti sana na baadhi hata ya maeneo ya majiji yanayolinganishwa na Arusha. kuna extra exposure kwa watu Arusha hata katika biashara nyingine mtu ana ku-attend in real mean of Mteja mfalme. muonekano wa wakazi wa Arusha aisee upo veree sana!Arusha kwa bata Mwanza inaachwa mbali. Nikipata mchongo alafu w'end inikute Arusha huwa najua balaa lake kulinganisha na Mwanza.
Arusha watu wengi wana exposure kulinganisha na miji mingi sababu ya utalii.
Hiki mimi pia nakiamini baada ya Dar ni Mwanza, Dodoma itaizidi Mwanza ila sio leo wala kesho tuipe miaka kadhaa mbeleeKwangu mm Dom inafuata baada ya mwanza (ukiacha Dar namba 1)
Miaka 5 ijayo Dom itaipiku Mwanza na kuwa namba 2 nyuma ya Dar
Hutaki unaacha
Sawa Dodoma unaweza kupaona ila mpango wake ni zaidi ya Arusha.Nyie nyie Watu dodoma Bado Sana hebu tuwe serious
Mimi nimefika dodoma wilaya zoteeee Jamani Hawa Watu Wana Hali mbayaaa .
Dodoma pazuri ni hapa tu dodoma Jiji,na chamwino kungine hukooo Kuna umasikini Wa kiwango kisichomithilika
Dodoma hii ukifika saa mji umepoa km Tuko nchi zenye vita mweeee ..
Uko sahihi maana serikali imeelekeza pesa ndefu huko watu watashangaa .Kwangu mm Dom inafuata baada ya mwanza (ukiacha Dar namba 1)
Miaka 5 ijayo Dom itaipiku Mwanza na kuwa namba 2 nyuma ya Dar
Hutaki unaacha
Duh!Arusha kuilinganisha na Dodoma ni matumizi, mabaya ya simu zenu,,, Dodoma itaizidi hadi Dsm majengo ya serikali tu,, basi kwingine hamna kitu, na project nyingi za Dodoma zitakua white elephant, sioni mtu wa kuishi Dodoma hata hao wafanya kazi wa hizo taasisi za kiserikali, familia zao zipo dsm, hapo ni kazi weekend Dsm,, Mfano soko la Dungai mpaka sasa wanafugia popo, hakuna watu humo,, Nyumba za NHC hazina watu hapo jangwani yamebaki kuwa mapambo na makazi ya mijusi na n'geo, Binafsi
Watu wnafuata fursa ngoja pawekwe viwanda na hili tatizo la ajira utakuta watu kibao wanaenda huko..Kuwa makini hiyo Arusha ni mkoa wa juzi tu kwa sasa una viwanda vingi mno na makampuni ya utalii zote ni ajira baada ya kuwa promoted .Arusha kuilinganisha na Dodoma ni matumizi, mabaya ya simu zenu,,, Dodoma itaizidi hadi Dsm majengo ya serikali tu,, basi kwingine hamna kitu, na project nyingi za Dodoma zitakua white elephant, sioni mtu wa kuishi Dodoma hata hao wafanya kazi wa hizo taasisi za kiserikali, familia zao zipo dsm, hapo ni kazi weekend Dsm,, Mfano soko la Dungai mpaka sasa wanafugia popo, hakuna watu humo,, Nyumba za NHC hazina watu hapo jangwani yamebaki kuwa mapambo na makazi ya mijusi na n'geo, Binafsi
Mkoa wa juzi kivipi mkuu hivi unajua unachokiongea kweli?! Katika orodha ya Mikoa inayoongoza kwa viwanda Tz ukitoa Dar na Pwani inafata Arusha ...sasa unasemaje Arusha ni mkoa wa juzi?Watu wnafuata fursa ngoja pawekwe viwanda na hili tatizo la ajira utakuta watu kibao wanaenda huko..Kuwa makini hiyo Arusha ni mkoa wa juzi tu kwa sasa una viwanda vingi mno na makampuni ya utalii zote ni ajira baada ya kuwa promoted .
Mkoa wa juzi jitambua naona umezaliwa miaka ya 95 kuja juuMkoa wa juzi kivipi mkuu hivi unajua unachokiongea kweli?! Katika orodha ya Mikoa inayoongoza kwa viwanda Tz ukitoa Dar na Pwani inafata Arusha ...sasa unasemaje Arusha ni mkoa wa juzi?
Ahsante kunielemisha na umeongea kisomi zaidi nimekuelewa ila Kwa Sasa Bado Dom ingawa ndo wanatengeneza mji uwe vzr na wanajitahida Saba kuweka lami kwenye mitaa ila dodoma Kuna shida ya maji sanaaSawa Dodoma unaweza kupaona ila mpango wake ni zaidi ya Arusha.
kwa sababu Arusha kwa ujumla ni artificial haina cha maana ukitoa yale majengo ni hovyo ,mitaa ipo hivyo haina mpangilio pia ni mkoa ambao huwezi kujitegemea hayo madini yanauzwa nje wala hawali ..Mi sijui hta product ninayo tumia inatokea Arusha.
Status ya Arusha baada ya kupewa hadhi na kupata majengo ila watu wake wengi hovyo na mzunguko wa fedha kujengwa kwa malls target ni watalii sio hawa machalii wavaa nguo oversize..Pia shughuli za utalii zimesaidia kuongezeka kwa mzunguko wa fedha kama Zanzibar sasa hii ni hadhi ya kupewa tu basi na sio kwamba Arusha ndo ina vivutio vyote vya utalii
Dodoma ina future nzuri na model za kisasa hata useme haina kilimo ila serikali inaweza kuchukua pato la sehemu nyingine ili kujenga mkoa wa Dodoma...
pa hovyoo kwa vigezo vipi ebu tutajie kwamfano mipango miji,ubora wa miundombinu,huduma za kijamii n.kHata Dodoma city na Arusha city, Bado Dodoma Pa hovyo sana bwanaaa
😀😀😀unachekesha sana eti mitaa haina barabara.Kuna Jiji lenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma Tanzania hii.Mwanza ndio kwenye vumbi na vichochoro visivyopangiliwa.Hii ndo dodoma wanayosema inajengwa Kwa mpangilio.. mitaa haina barabara,,vumbi Kila sehemu,,mfumo wa ujenzi hauko organized Kila mmoja anajijengea apendavyo .....
Na hapa ndio kisasa mtaa wa mabwanyenye [emoji28][emoji28][emoji28].... dodoma bado Ina safari kubwa sana kuipata mwanza... kisasa ipambane na Usagara misungwi kwanza [emoji28]
Kati ya Arusha Jiji na Dodoma Jiji ni Jiji lipi lenye barabara za vumbi😀😀😀. Dodoma ukwame wapi kila mtaa lami tupu.Hali ya hewa ya Dodoma kuanzia mwezi Mei hadi Agosti ni sawa sawa kabisa na hali ya hewa ya baridi ArushaIle vumbi ya Dodoma na baridi ya kupausha unaifanishaje na Arusha yenye barid ya unyevu nyevu kweli?