Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

We unaumwa sio Bure kwmaba sio ya serikali? kwani huo mfuko una watu wa Arusha tu ...Ni sehemu ya serikali hata lile la posta kifupi hamna kipya hapo
We kweli dumb ,,,,,, ingekuwa hifadhi za jamii ni pesa za serikali... serikali isingeenda kuzikopa na kuziuzia bond au Treasury bills ... uwekezaji wa mifuko ya hifadhi ni sawa na uwekezaji wa benki au mutuals funds,,pesa za wananchi ,,
 
We mpumbavu kweli kwamba GSM ndio matajiri wa dodoma ?! Mbona hao GSM mikoa kama Mwanza na Arusha wanaviduka vyao uchwara ...nazungumzia matajiri wa Jiji la Dom ,kama unavoskia Matias manga Kajenga ghorofa la floors 14 Arusha au kama unavoskia Jumanne Kishimba ana kivuko chake Cha Abiria Mkoani mwanza
Mwanzo umesema Dodoma uwekezaji ni wa serikali pekee ...nimekutajia wawekezaji binafsi na miradiyao sasa unabadili mada unasema unataka matajiri wazawa😆😀😆.Miji mikubwa yote iliyoendelea wageni ndio hutumia fursa za uwekezaji kuliko wageni
 
Hata Dodoma iwe kubwa kimiundo mbinu, majengo, kipato nk. Hata iwe kubwa kuliko Nairobi au Johannesburg HAITAKUJA KUWA KAMA DSM AU ARUSHA . Dodoma hali ya hewa ni mbaya kuliko sura ya ngiri. Maji mabovu, vumbi, jua la ajabu linakuchoma na hutoi jasho yaani jua likiwaka inabidi ufinye macho. KIUHALISIA DODOMA HALI YA HEWA HUWEZI KUJISIKIA COMFORTABLE. YA NINI KUISHI SEHEMU INAYOFANANA NA SUDAN WAKATI KUNA SEHEMU KAMA DSM, ARUSHA, MWANZA, MBEYA nk.
Ukiona jiji linakuwa lakini wageni/wazungu hawataki kuishi hapo basi ujue sio poa.

Hivyo hata lijengwe kuzidi London
Unachekesha eti hali ya hewa ya Dodoma ni afadhali kuishi Dar😀😀😀.Kati ya Dar na Dom wapi kwenye joto😀😀.Hali ya hewa ya Dom city ni moderate sio joto wala sio baridi. Miezi kama hii ni baridi kali hadi Oktoba.

Alafu hakuna hali ya hewa inayoitwa vumbi(sijawahi kusikia popote kwenye utabiri wa hali ya hewa wakasema kesho mji fulani kutakua na vumbi😀😀) ila ipo hali ya hewa ya upepo mkali.

Cha mwisho kwa kukusaidia tu ni kwamba hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Miji kama Lushoto,Makete,Njombe hali ya hewa ni baridi kali kama Ulaya lakini hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.Majiji ya Dubai,Cairo ni jotokali mwakamzima lakini ndio inaongoza duniani kwa kutembelewa na Watalii
 
mara nyingi. kila baada ya wiki mbili nakuwa dom au napita dom kwenda mikoa mingine kwa shughuli zangu. Kukiwa vikao vya ccm tu, hoteli zote na vigesti vyote hata vya uchochoroni vinajaa. Pia hoteli nyingi za dodoma ni chafu, breakfast zao ni mbovu hata huwa sili unaweza ukatapika kama unabisha asubuhi nenda area c pale simba hotel, lion lodge, faru lodge, safari na vihotel na vilodge vyote vilivyoko maeneo yale na dodoma yote ni aibu, isipokuwa sehemu chache kama Kemy Lodge

Ninaijua dodoma tangu kikiwa kimji kidogo sana miaka ya 1980's nikiwa nasoma mazengo secondary na baadaye baada ya chuo nikafanya kazi dom, ninaijua dodoma ndani nje mpaka imekuwa hivyo ilivyo, hakuna kitu cha maana cha kuringishia, bado sana.
kuisifia dodoma na kuiponda miji/majiji ya zamani ni kutimiza dhana/mithali ya mwamba ngoma huvutia kwake lakini dodoma hakuna lolote.
Ndiyo sababu hata rais ye yote wa nchi hata akiwa peke yake akifanya ziara tz haletwi dodoma-makao makuu maana ni aibu. Uncle magu alikurupuka bila kupaandaa.
Umeandika utoporooo mtupu yaani ulienda kwenye guest houses na lodge za hadhi yako alafu unakuja kutoa conclusion ya kishamba hivyo😀😀😀.

Dom City kwenye mambo ya hoteli wako vizuri sana.Arusha wanazidi Dom idadi ya hoteli kwasababu ya sekta ya Utalii basi.
Dom City sio makao makuu ya serikali pekee,bali ni makao makuu ya chama pamoja na makao makuu ya mihimili mingine ya serikali yaani Bunge na Mahakama hivyo demand ya hoteli ni kubwa sana hasa kwa high season(mfano wakati wa mikutano ya Bunge,CCM)
Next time ukija Dom tembelea hoteli zifuatazo
-Bestern Western City Hotel
-Morena Hotel
-Royal Village
-St Gaspar
-African Dreams
-Dodoma Grand Hotel
-Dear Mama
-Midlands
-Karibu Rafiki
-Golden Crown
-DM
-NAM Hotel
-New Dodoma Hotel
-Nasheera
-Mesuma Hotel

n.k
 
Umeandika utoporooo mtupu yaani ulienda kwenye guest houses na lodge za hadhi yako alafu unakuja kutoa conclusion ya kishamba hivyo[emoji3][emoji3][emoji3].

Dom City kwenye mambo ya hoteli wako vizuri sana.Arusha wanazidi Dom idadi ya hoteli kwasababu ya sekta ya Utalii basi.
Dom City sio makao makuu ya serikali pekee,bali ni makao makuu ya chama pamoja na makao makuu ya mihimili mingine ya serikali yaani Bunge na Mahakama hivyo demand ya hoteli ni kubwa sana hasa kwa high season(mfano wakati wa mikutano ya Bunge,CCM)
Next time ukija Dom tembelea hoteli zifuatazo
-Bestern Western City Hotel
-Morena Hotel
-Royal Village
-St Gaspar
-African Dreams
-Dodoma Grand Hotel
-Dear Mama
-Midlands
-Karibu Rafiki
-Golden Crown
-DM
-NAM Hotel
-New Dodoma Hotel
-Nasheera
-Mesuma Hotel

n.k
Yani mpka hotel nzuri na lodge ni za kutaja hivi? Asa hapo Kuna nin kipya?!
 
Unachekesha eti hali ya hewa ya Dodoma ni afadhali kuishi Dar😀😀😀.Kati ya Dar na Dom wapi kwenye joto😀😀.Hali ya hewa ya Dom city ni moderate sio joto wala sio baridi. Miezi kama hii ni baridi kali hadi Oktoba.

Alafu hakuna hali ya hewa inayoitwa vumbi(sijawahi kusikia popote kwenye utabiri wa hali ya hewa wakasema kesho mji fulani kutakua na vumbi😀😀) ila ipo hali ya hewa ya upepo mkali.

Cha mwisho kwa kukusaidia tu ni kwamba hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Miji kama Lushoto,Makete,Njombe hali ya hewa ni baridi kali kama Ulaya lakini hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.Majiji ya Dubai,Cairo ni jotokali mwakamzima lakini ndio inaongoza duniani kwa kutembelewa na Watalii
Nimeshakuambia Dodoma haijalishi itakuwa na maendeleo kiasi gani lakini siwezi kuishi huko wakati kuna sehemu zenye hali ya hewa rafiki/nzuri. Ni kweli Dar kuna joto lakini angalau mwili unapumua kwa kutoa jasho lakini sio kama Dodoma unachomwa jua kali unachemkia ndani kwa ndani kama mahindi ya kukaanga. Nina uhakika asilimia 95 ya waliohamia Dodoma mioyoni mwao hawapapendi. Wengi tulichofanya nikujenga kwa ajili ya kipato tu.
 
Nimeshakuambia Dodoma haijalishi itakuwa na maendeleo kiasi gani lakini siwezi kuishi huko wajati kuna sehemu zenye hali ya hewa rafiki/nzuri. Ni kweli Dar kuna joto lakini angalau mwili unapumua kwa kutoa jasho lakini sio kama Dodoma unachomwa jua kali unachemkia ndani kwa ndani kwama mahindi ya kukaanga. Nina uhakika asilimia 95 ya waliohamia Dodoma mioyoni mwao hawapapendi. Wengi tulichofanya nikujenga kwa ajili ya kipato tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20230726-215553.jpg
 
N
Nimeshakuambia Dodoma haijalishi itakuwa na maendeleo kiasi gani lakini siwezi kuishi huko wajati kuna sehemu zenye hali ya hewa rafiki/nzuri. Ni kweli Dar kuna joto lakini angalau mwili unapumua kwa kutoa jasho lakini sio kama Dodoma unachomwa jua kali unachemkia ndani kwa ndani kwama mahindi ya kukaanga. Nina uhakika asilimia 95 ya waliohamia Dodoma mioyoni mwao hawapapendi. Wengi tulichofanya nikujenga kwa ajili ya kipato tu.
Naona unaruka ruka tu baada ya kupewa facts😀😀.Mwanzo umesema ni bora uishi Dar kuliko Dom kwa kigezo cha hali ya hewa.Nikakuuliza kati ya Dar na Dom mji upi wenye joto.Dar wawanatembea na vitambaa vya kujifuta jasho Dom huwezi kuona mtu anatembea na leso ya kujifuta jasho.Hali ya hewa ni ya wastani sio joto wala sio baridi.

Umesema umesoma na kufanya kazi Dodoma sasa nakushangaa hujui kwamba Hali ya hewa Dom City kwa sasa ni baridi kali hasa nyakati za usiku(kuanzia Mei hadi Oktoba)

Mwisho kabisa tunarudi palepale👇👇
hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Miji kama Lushoto,Makete,Njombe hali ya hewa ni baridi kali kama Ulaya lakini hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.Majiji ya Dubai,Cairo ni jotokali mwakamzima lakini ndio inaongoza duniani kwa kutembelewa na Watalii
 
N

Naona unaruka ruka tu baada ya kupewa facts[emoji3][emoji3].Mwanzo umesema ni bora uishi Dar kuliko Dom kwa kigezo cha hali ya hewa.Nikakuuliza kati ya Dar na Dom mji upi wenye joto.Dar wawanatembea na vitambaa vya kujifuta jasho Dom huwezi kuona mtu anatembea na leso ya kujifuta jasho.Hali ya hewa ni ya wastani sio joto wala sio baridi.

Umesema umesoma na kufanya kazi Dodoma sasa nakushangaa hujui kwamba Hali ya hewa Dom City kwa sasa ni baridi kali hasa nyakati za usiku(kuanzia Mei hadi Oktoba)

Mwisho kabisa tunarudi palepale[emoji116][emoji116]
hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Miji kama Lushoto,Makete,Njombe hali ya hewa ni baridi kali kama Ulaya lakini hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.Majiji ya Dubai,Cairo ni jotokali mwakamzima lakini ndio inaongoza duniani kwa kutembelewa na Watalii
Sasa unadhani kama sio Jiwe kuipa Kinguvu nguvu Dodoma hali ya Jiji ,ingekuwa Jiji hivi Leo?
 
Dodoma niomesheni sehemu yenye uoto wa asali na mandhari ya kuvutia kama haya ,mana Arusha kama Majengo marefu tunayo,hali ya hewa nzuri tunayo
Screenshot_20230727-220901.jpg
 
N

Naona unaruka ruka tu baada ya kupewa facts😀😀.Mwanzo umesema ni bora uishi Dar kuliko Dom kwa kigezo cha hali ya hewa.Nikakuuliza kati ya Dar na Dom mji upi wenye joto.Dar wawanatembea na vitambaa vya kujifuta jasho Dom huwezi kuona mtu anatembea na leso ya kujifuta jasho.Hali ya hewa ni ya wastani sio joto wala sio baridi.

Umesema umesoma na kufanya kazi Dodoma sasa nakushangaa hujui kwamba Hali ya hewa Dom City kwa sasa ni baridi kali hasa nyakati za usiku(kuanzia Mei hadi Oktoba)

Mwisho kabisa tunarudi palepale👇👇
hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Miji kama Lushoto,Makete,Njombe hali ya hewa ni baridi kali kama Ulaya lakini hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.Majiji ya Dubai,Cairo ni jotokali mwakamzima lakini ndio inaongoza duniani kwa kutembelewa na Watalii
Nimecheka sana unaposema Dar wanatembea na vitambaa kwaajili ya kujifuta jasho na Dodoma hawatembei navyo. Sasa hapo lipi jema kutoa jasho au kuungua na jua halafu usitoe jasho. Kwanza ndio maana mtu wa Dodoma amekuwa amefubaaaa sura sababu ya jua . Pia hali ya hewa ya Dodoma sio rafiki kwa afya ya Macho. Sisi wabongo kuna ukweli mwingine watu hawataki kuuzungumzia but the whether over there is not healthy indeed
 
W

Ww level zako nenda kabishane facebook manake naona huna hoja wala facts zozote zaidi ya kuruka ruka tu kubadilisha badilisha topics.Mwanzo ulisema ni bora uishi Dar kuliko Dom kwa kigezo cha hali ya hewa nikakuuliza kati ya Dar na Dom mji upi wenye joto kali hujajibu.
Alafu unadanganya eti umesoma na kufanya kazi Dodoma kwa miaka mingi nikakuuliza hali ya hewa ya mji wa Dodoma kwa kipindi cha kuanzia Mei hadi Oktoba ipoje hujajibu.
Saizi umekuja na ishu ya vumbi😀😀 Kwa taarifa yako Dodoma ndio Jiji linaloongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami Tanzania nzima(serikali inapapendelea sana pale pamoja na ule mradi wa World Bank)
Dom City ukwame wapi kila mtaa lami tupu sasa hilo vumbi linatoka wapi.Usilinganishe Dom City na majiji mengine yenye barabara za vumbi hadi ndani ya City Centre😀😀
 
Dodoma niomesheni sehemu yenye uoto wa asali na mandhari ya kuvutia kama haya ,mana Arusha kama Majengo marefu tunayo,hali ya hewa nzuri tunayoView attachment 2700921
Unazungumzia uoto wa asili😀😀😀 Je umewahi kufika Udom au kule kwa Waziri Mkuu Area D.
Unajificha kwenye hoja ya hali ya hewa ambayo haina nguvu.
Kama hali ya hewa ya Arusha ingekua kama Makete nadhani Arusha ingeshakua Ulaya 😂😂😂
 
Unazungumzia uoto wa asili[emoji3][emoji3][emoji3] Je umewahi kufika Udom au kule kwa Waziri Mkuu Area D.
Unajificha kwenye hoja ya hali ya hewa ambayo haina nguvu.
Kama hali ya hewa ya Arusha ingekua kama Makete nadhani Arusha ingeshakua Ulaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Udom si hii
Screenshot_20230726-215553.jpg
 
Hii njia pembeni mwa Jakaya Kikwete Convention Center yanaporomoshwa maghorofa balaa.Dom is 💥💥💥💥
Dodoma sio Tourist Camp site za kufugia nyani na ngedere kama Arusha..

Arusha sema Shikamoo Dodoma 🔥🔥
 
Unazungumzia uoto wa asili😀😀😀 Je umewahi kufika Udom au kule kwa Waziri Mkuu Area D.
Unajificha kwenye hoja ya hali ya hewa ambayo haina nguvu.
Kama hali ya hewa ya Arusha ingekua kama Makete nadhani Arusha ingeshakua Ulaya 😂😂😂
Najua hujawahi kufika Dom City ngoja nikurahisishie Area D na Udom 👇👇
 
Attachments

  • efd4f9ed1711e1568bc7671728a8eb95.png
    efd4f9ed1711e1568bc7671728a8eb95.png
    163.1 KB · Views: 11
  • 08dde830a5793fe41d1ac5110c536527.png
    08dde830a5793fe41d1ac5110c536527.png
    214.8 KB · Views: 12
  • de2a54784a7cdc60f786d95acd774108.png
    de2a54784a7cdc60f786d95acd774108.png
    39 KB · Views: 13
Back
Top Bottom