Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Ndiyo maana binafsi sikuona sababu ya kuhamisha makao makuu sema nchi imekuwa kama ya waabudu mizimu.
Yaani mnafanya maamuzi kwa vile tu wakati huo Nyerere alisema makao makuu yawe Dodoma!
 
Ndiyo maana binafsi sikuona sababu ya kuhamisha makao makuu sema nchi imekuwa kama ya waabudu mizimu.
Yaani mnafanya maamuzi kwa vile tu wakati huo Nyerere alisema makao makuu yawe Dodoma!
Sababu zipo na ishu ya kuseto Mji Mkuu sio la overnight

Mwisho kwani Tanzania pekee ndio imehamisha Mji Mkuu?
 
Hapo wanatunga safari za uongo wanaondoka na wapenzi wao kwenda kula starehe, kimsingi nchi imeoza hii ni rushwa tupu
 
Mwisho kwani Tanzania pekee ndio imehamisha Mji Mkuu?
Nchi nyingi tu zimehamisha lakini walikuwa na sababu zao lakini sisi hatukuwa na sababu tena baada ya kushindwa kutekeleza azma yetu kwa zaidi ya miaka 40 labda sababu pekee iliyokuwa imebaki ni kumridhisha Nyerere huko alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…