Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Acheni ujinga na ujuaji.80% ya wafanyakazi walikuwa Dar tena Wana familia huko ,unategemea Kwa mda mfupi Makao Makuu yata settle?

As we speak Bado viwanja vya ndege vipo Dar na Arusha in case unataka kusafiri hapo unategemea nini?

Mwisho Sgr yenu imewasaidia kiasi watu wa Dar.
Ndiyo maana binafsi sikuona sababu ya kuhamisha makao makuu sema nchi imekuwa kama ya waabudu mizimu.
Yaani mnafanya maamuzi kwa vile tu wakati huo Nyerere alisema makao makuu yawe Dodoma!
 
Ndiyo maana binafsi sikuona sababu ya kuhamisha makao makuu sema nchi imekuwa kama ya waabudu mizimu.
Yaani mnafanya maamuzi kwa vile tu wakati huo Nyerere alisema makao makuu yawe Dodoma!
Sababu zipo na ishu ya kuseto Mji Mkuu sio la overnight

Mwisho kwani Tanzania pekee ndio imehamisha Mji Mkuu?
 
1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao.

2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni

Destinations: Dar, Arusha na Mwanza kuponda Raha.
Hapo wanatunga safari za uongo wanaondoka na wapenzi wao kwenda kula starehe, kimsingi nchi imeoza hii ni rushwa tupu
 
Mwisho kwani Tanzania pekee ndio imehamisha Mji Mkuu?
Nchi nyingi tu zimehamisha lakini walikuwa na sababu zao lakini sisi hatukuwa na sababu tena baada ya kushindwa kutekeleza azma yetu kwa zaidi ya miaka 40 labda sababu pekee iliyokuwa imebaki ni kumridhisha Nyerere huko alipo.
 
Back
Top Bottom