Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025 warudie makosaHalafu hela zenu ndo zinaenda kwenye goli la Mama. Mama anaupiga mwingi au yongo ndugu zangu
Uokotwe urudishwe ndaniMama anaupiga mwingi, had unatoka njee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshika Kibubu Mkuu alishasema " kama hatuendani na wanavyotaka tuhamie Burundi"Nchi ya hovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.
Ndo maana watu wanawarecord wanamtumia mange kimambi kuonesha upuuzi mmnaoufanya .
Hivi hamna organization iliyoko huko duniani ili tuwatumie video jinsi Tanzania tunavyonyanyasika?
Serikali zinakusanya zisipotapanya. Mnavuna mapato ambayo hata hamjayahangaikia . Nchi ya hovyo hii. Loh .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hakuna tatizo, maana nchi hii kila kitu anafanya mama wa shoka, iron lady, simba wa yuda, yule ambaye hajawahi tokea dunia nzima, chief wa machief, Dr Samia, jabali kuu.Nchi ya hovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.
Ndo maana watu wanawarecord wanamtumia mange kimambi kuonesha upuuzi mmnaoufanya .
Hivi hamna organization iliyoko huko duniani ili tuwatumie video jinsi Tanzania tunavyonyanyasika?
Serikali zinakusanya zisipotapanya. Mnavuna mapato ambayo hata hamjayahangaikia . Nchi ya hovyo hii. Loh .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
faya,leseni,mapato,vat,levy,mwenge,takataka, n.k .Inasikitisha sana kila siku wanabuni mbinu za kumfilisi mfanya biashara
Labda ni kwaajili ya kunenepesha wabunge maana tunaambiwa wanapandishiwa posho toka 13 kwenda 18Nchi ya ovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.
Ndo maana watu wanawarecord wanamtumia Mange Kimambi kuonesha upuuzi mnaoufanya .
Hivi hamna organization iliyoko huko duniani ili tuwatumie video jinsi Tanzania tunavyonyanyasika?
Serikali zinakusanya zisipotapanya. Mnavuna mapato ambayo hata hamjayahangaikia . Nchi ya ovyo hii. Loh .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mbinu wanayotumia kuiuza nchi wanasingizia umasikini wakati wanauza rasilimali zinafujwa hovyoYani acha tu. Hawatengenezi ajira. Ila mkijiajiri wanakuja Kwa Kasi kuwanyanyasa na makufuli yao.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hata Kaizari Augusto alichukiwa kwa kudai ndururu zake.Alipwe bila shuruti.Wanataka kuvuna wasipopanda
Serikali ya Tanzania inaongozwa na wasomi waliowekwa madarakani na wachawi, waganga pori na wasoma viganja ambao karibia wote ni TABULARASA.... Ukiona msomi anashiriki SHIRKI ujue alienda shule kama stages za ukuaji na siyo kuelimikaNchi ya ovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.
Ndo maana watu wanawarecord wanamtumia Mange Kimambi kuonesha upuuzi mnaoufanya .
Hivi hamna organization iliyoko huko duniani ili tuwatumie video jinsi Tanzania tunavyonyanyasika?
Serikali zinakusanya zisipotapanya. Mnavuna mapato ambayo hata hamjayahangaikia . Nchi ya ovyo hii. Loh .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
• Hapa nazungumzia wale kila uchaguzi wapo na CCM, Lakini kero zikitokea wanaanza kulia lia.
Hii Nchi ngumu SanaTRA nao hawako nyuma wametoka kututafuna rushwa 1.2M .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Poleni.Hao wanaofunga wamepewa mamlaka na nani?Nchi ya ovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.
Ndo maana watu wanawarecord wanamtumia Mange Kimambi kuonesha upuuzi mnaoufanya .
Hivi hamna organization iliyoko huko duniani ili tuwatumie video jinsi Tanzania tunavyonyanyasika?
Serikali zinakusanya zisipotapanya. Mnavuna mapato ambayo hata hamjayahangaikia . Nchi ya ovyo hii. Loh .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Umewaachiaje mkuu???, mbona unawadekeza!!!TRA nao hawako nyuma wametoka kututafuna rushwa 1.2M .
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Leo nimesikiaa wapo ihumwa tra na jiji Kaz yao Ni kufunga maduka bila maelezoNchi ya ovyo utaijua tu. Serikali haijakusaidia kufungua biashara, haijakupa mkopo, haijakupa ujuzi namna ya kufungua biashara. Haijakufundisha namna ya kutengeneza product iendane na soko la kimataifa. Haijawasaidieni muweze hata kupeleka bidhaa zenu soko la kimataifa. Ila wanakuja na makufuli wanakufungia biashara Yako.