chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma