PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kwahiyo DODOMA ikiwa ya njano ndiyo kigezo cha kuchaguliwa Hadi 2030?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu makamu wenu kumbe anateuliwa tu na sio kupigiwa kura ..Nasubiri muda ufike kesho tu tumfahamu Makamu mwenyekiti wetu wa CCM
Soma maelezo ueleweKwahiyo DODOMA ikiwa ya njano ndiyo kigezo cha kuchaguliwa Hadi 2030?
Jidanganye sana. Mkutano mkubwa tunao na tunatamba naoKumedoda kiki zote zimejambahh.....
Umeziandaa wewe hizo dili chafu?Mda wa wajumbe kupiga Dili chafu
Kwa macho yako yalio na ukungu ndiyo umeona ni uchafu so baki hivyohivyo. Dodoma ni pa chafu sana,
. Nimepita hapo, naona mabango yamejaa karibu barabara yote 🤒🤒🤒
Huu ni ushamba wa kiwazo tu
Wanasema wameenda kufanya uchaguzi wa makamu mwenyekiti! Lakini cha ajabu hawamjui wanayeenda kumchagua! 😀😀😀Huko kumebuma kilichowapeleka huko kingefanyika hata kwenye simu tu na laptop ikaisha
Hivi CCM kipo kweli?Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma View attachment 3203773View attachment 3203773View attachment 3203774View attachment 3203775
SilenzioUmeziandaa wewe hizo dili chafu?
Hivi kazi ya hao wasanii ni nini kwenye mkutano? Mbona yapo mengi tu ya kujadili kama nchi? Halafu emb yatazame!Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma View attachment 3203773View attachment 3203773View attachment 3203774View attachment 3203775
CCM mbona haifukii makaburi hata baafa ya kuzika watu?