Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
. Dodoma ni pa chafu sana,

. Nimepita hapo, naona mabango yamejaa karibu barabara yote 🤒🤒🤒
 
1000020521.jpg
 
Zuchu kipindi hiki sijui atakuwa na ndoto ya kumshika nani mkono ?

Nakumbuka kipindi Cha 2020 alisema ni ndoto yake kumshika mkono mwendazake
 
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!

Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma View attachment 3203773View attachment 3203773View attachment 3203774View attachment 3203775
Hivi CCM kipo kweli?
 
Muachage kufanya propaganda, nani ana interest kufuatilia mambo ya ccm huko dodoma? Kwanza huo uteuzi wa makamu mwenyekiti wao hauna impact, hauna vibe, hao wasanii wameenda huko kwa maslahi yao tu. Vibe liko dar kunako uchaguzi wa chadema, media zote all eyes on the chadema election
 
Halafu wengine wamefikia kwenye hii hotel mitaa ya hapa Kisasa, ni watu wa ajabu sana ati wanalazimisha kulala kwa nusu bei vile wapo kwenye sare
 
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!

Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma View attachment 3203773View attachment 3203773View attachment 3203774View attachment 3203775
Hivi kazi ya hao wasanii ni nini kwenye mkutano? Mbona yapo mengi tu ya kujadili kama nchi? Halafu emb yatazame!
 
Back
Top Bottom