Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukisikia Chama Cha siasa chenye Demokrasia komavu Basi ni CCM

Mambo yao ni kimya kimya hakunaga Matusi wala kurogana

Hapa Dodoma Hotel zote zimejaa na Vyombo Vya Usafiri viko booked, Wafanyabiashara wanaitumia Fursa

Awe Komredi Mizengo Pinda au Komredi Polepole yote ni Sawa Kwa sababu Mungu ni mwema kila wakati

Jumaa Mubarak 😂
 
Umesahau kitu kimoja mkuu wenzio wakishaandika mapambio kama wewe wanaandika na namba yao ya simu ili iwe rahisi kuwapa teuzi..
 
Ukisikia Chama Cha siasa chenye Demokrasia komavu Basi ni CCM

Mambo yao ni kimya kimya hakunaga Matusi wala kurogana

Hapa Dodoma Hotel zote zimejaa na Vyombo Vya Usafiri viko booked, Wafanyabiashara wanaitumia Fursa

Awe Komredi Mizengo Pinda au Komredi Polepole yote ni Sawa Kwa sababu Mungu ni mwema kila wakati

Jumaa Mubarak 😂
Bila CCM kusomba watu na mabasi mapya hakuna mtu atahudhuria mkutano wao.
 
ccm ndiyo chama cha siasa wengine ni magenge ya wahuni tu sasa chadem nacho ni chama ona wanavyopigana vijembe kama wanawake ngomani
 
Hivi kazi ya hao wasanii ni nini kwenye mkutano? Mbona yapo mengi tu ya kujadili kama nchi? Halafu emb yatazame!
Ney wa Matege huwa anawaimbia nyimbo lakini hamjawahi kumpa shavu
 
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!

Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma View attachment 3203773View attachment 3203773View attachment 3203774View attachment 3203775
Jimbo la Mary Nagu wakati huo, Jimbo la Fredrick Sumaye,wakati huo😳
 
Attachments

  • VID-20250117-WA0016.mp4
    26.3 MB
Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 vs miaka mitatu ya Samia Suluhu

1. GDP ya Burkina Faso ilikua kutoka takriban dola bilioni 18.8 hadi $ 22.1 bilioni.

2. Amekataa mikopo kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia. Alisema, "Afrika haiitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika."

3. Alipunguza mishahara ya mawaziri na wabunge kwa 30% na akaongeza mishahara ya watumishi wa umma na 50%.

4. Alilipa deni la Burkina Faso.

5. Alianzisha viwanda viwili ya usindikaji wa nyanya, hakukuwa na kiwanda hata kimoja Burkina Faso.

6. Mnamo 2023, alianzisha mgodi wa dhahabu wa hali ya juu ili kuongeza uwezo wa usindikaji wa ndani.

7. Alisimamisha usafirishaji wa Dhahabu ya Burkina Faso Gold kwenda Ulaya.

8. Aliunda kiwanda cha pili wa usindikaji wa pamba wa Burkina Faso. Hapo awali, nchi ilikuwa na ki moja tu.

9. Alifungua Kituo cha Msaada wa Kitaifa cha kwanza cha Usindikaji wa Pamba ya Artisanal kusaidia wakulima wa pamba wa ndani.

10. Alipiga marufuku kuvaa kwa wigs za kisheria za Uingereza na gauni katika korti za mitaa na kuanzisha mavazi ya jadi ya burkinabé.

11. Alitanguliza kilimo kwa kusambaza matrekta zaidi ya 400, viboreshaji 239, pampu 710 za gari, na pikipiki 714 ili kuongeza uzalishaji na kusaidia wadau wa vijijini.

12. Alianzisha viwanda vya mbegu zilizoboreshwa na pembejeo zingine za shamba ili kuongeza pato la kilimo.

13.Uzalishaji wa nyanya huko Burkina Faso uliongezeka kutoka tani 315,000 za tani 2022 hadi tani 360,000 za tani mnamo 2024.

14. Uzalishaji wa Millet uliongezeka kutoka tani 907,000 za tani mnamo 2022 hadi tani milioni 1.1 mnamo 2024.

15. Uzalishaji wa mpunga uliongezeka kutoka tani 280,000 za tani 2022 hadi tani 326,000 mnamo 2024.

16. Alipiga marufuku shughuli za kijeshi za Ufaransa huko Burkina Faso.

17. Alipiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa huko Burkina Faso.

18. Aliwafukuza askari wa Ufaransa kutoka Burkina Faso.

19. Serikali yake inaunda barabara mpya, kupanua zile zilizopo, na kuboresha barabara za changarawe hadi nyuso zilizowekwa.

20. Anaunda uwanja wa ndege mpya, uwanja wa ndege wa Ouagadougou-donsin, ambao unatarajiwa kukamilika mn
Eric Samuel 🙏amo 2025 na uwezo wa kushughulikia abiria milioni 1 kila mwaka.

##SAMIA KTK MIAKA MI 3 AMENUNUA MABASI YA CCM , PIKIPIKI ZA SAMIA 2025, BAISKELI ZA SAMIA 2025, AMEHONGA MAKANISA ,MISIKITI , TIMU ZA MIPIRA NA WANASIASA, AMEPAISHA DENI LA TAIFA KUTOKA TRILIONI 60 HADI TRILIONI 100 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Traore mwamba bwana

Hana machawa

Ova
 
Back
Top Bottom