Mafyangula
Member
- Jan 16, 2025
- 75
- 100
Mwenye nipo safarini usiku huu naelekea Dodoma kwenye jambo kubwa kutoka kwa chama kubwa CCMUko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma View attachment 3203773View attachment 3203773View attachment 3203774View attachment 3203775