Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!

Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye kongwe inayovusha

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Dodoma imejaa kushoto kulia, kaskazini na kusini. Karibu Dodoma
 
Huko kumebuma kilichowapeleka huko kingefanyika hata kwenye simu tu na laptop ikaisha
 
Kuna kipindi nilipita Dom kulikuwa na mkutano kama huu.Kuzunguka tu na boda kutafuta lodge nilitumia 40 napoint .Kila lodge imejaa .Nikaja kuuziwa chumba kwa 80 pale fourways.Chumba lilikuwa linanuka mimavi na pombe .
 
Ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…