Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenye nipo safarini usiku huu naelekea Dodoma kwenye jambo kubwa kutoka kwa chama kubwa CCM
 
Habari iliyo mjini kwa sasa ni CHADEMA, hadi BBC hadi VOA. CCM wanafurukuta lakini wapi, hawana kiki.
Alafu ccm hawafanyi hivo kwaajili ya kiki, wamevuta watu wengi kule, hivo wanafanya kwaajili yao.
Kila mtu afanye anavyoweza, ccm ni kariba yake kuvuta wasanii na watu katika mikutano yao. Hivo sio dhambi. Ccm watajaza dodoma na wamejaza kama kawaida yao.
Kama chadema wanafanya ndani kwa ndani, au ACT, unyama tu.
Acha wanaccm waenjoy ccm yao. Kama chadema wanavyoinjoi media au kupigana tanganyika jeki.
 
Wamejazana mpaka hakuna nafasi ya kukanyaga, huku mkutano wote jibu ni moja, ndiyooo! sawaa! Bora wangeokoa muda kwa kutumia facebook, CCM inahujumu maendeleo ya nchi huku ikijidai kukataza baa kuuza pombe mchana.
 
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.

Quote
 
Tangazo

Serikali itangaze tarehe 21/01/2025 kuwa siku ya mapumziko ili kuwezesha Watanzania wote kufuatilia uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Hii itawapa fursa raia kushiriki na kuangalia mchakato wa uchaguzi kwa karibu, kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi ya kutoa sauti yake katika demokrasia yetu.

Maelezo ya Ziada:
  • Tarehe: 21/01/2025
  • Madhumuni: Kufuata na kushiriki katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Tafadhali hakikisha unajiandaa na kuwa na taarifa sahihi kuhusu uchaguzi.
 
Mwashambwa kashafika au kakosa nauli tuanze kububujikwa na machozi
 
Kodi zetu zinatumika hovyo sana kwa kwenda kunajisi mji wa Dodoma!
 
Nyie ambukizaneni tu ukimwi .
 
Acha Chadema iendelee kukiki kwenye media mpaka za kimataifa kila siku zinafuatilia Minyukano. Faida zake zinakuja soon.

Ccm wakati huu ipo inapambana kuringishia ma-yuton na kukutanisha wasanii na wachawa. Kupanga ni kuchagua,Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…