Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matapeli yamejaa Dom, yamesomba wasanii wote . Hayaamini katika siasa za kisayansi Bali mazingaombwe. Wananchi wananuka Shida. Hela zao zimeenda kununua mabasi na kuhonga machawa. Yana mwisho lakini hayatadumu milele
 
Ndom zimeadimika pia.. Kuna wanaoenda kuacha mbegu kuna wanaoenda kuchukua
 
Hivyo vijisanii uchwara vinaenda kufanyishwa ufuska tu huko Dodoma.
 
Sasa CHADEMA ndio habari, ccm hamkusoma alama za nyakati
 
Acha upuuzi mtoa mada..eti Kuna mtu kabaki dar kweli..hovyo kabisa ...
 
Upuu
Upuuzi!
 
Kinachofanyika Dodoma ni maigizo tu, hakuna uchaguzi wala nn
 
Walipo Dodoma Wanasema Wengi Wanazurura Tu Pia Ikumbukwe Dodoma Ni Ndogo Na Maeneo Ya City Centre Ni Ulipo Ofisi Ya CCM Nyerere Square

Marburg Sasa Inakwenda Kusambazwa Kwa Kasi
 
Walipo Dodoma Wanasema Wengi Wanazurura Tu Pia Ikumbukwe Dodoma Ni Ndogo Na Maeneo Ya City Centre Ni Ulipo Ofisi Ya CCM Nyerere Square

Marburg Sasa Inakwenda Kusambazwa Kwa Kasi
Waongo hao
 
Nilianza safari usiku wa jana na asubhi hii nimefika makao makuu ya nchi na ya chama changu cha CCM, hakika mji mzima ni Kijani tu bendera ni za CCM.

Wafanyabiashara bishara zao zinafanyika balaa. Kwa kweli Hongereni sana viongozi wangu kwa maandalizi mazuri. Nasubiri muda ufike kesho tu tumfahamu Makamu mwenyekiti wetu wa CCM

Kwahili Mama kipenzi chetu Dkt Samia Mitano tena hadi 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…