Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Wapi Dar watoto wanakaa chini wewe?
 
Hii ingepelekwa kwenye jukwaa zenu huko maana haina uhusiano wowote na Kenya. Jukwaa la mapenzi ingekuwa bora zaidi.
Lazima wamuonyeshe big brother pia wao wapo kazini...SGR noma wamekimbilia stendi.
 
Ninyi huwa nawaona kama hamnaga akili timamu.

Huwa hamuwezi ku appreciate kwanza then uache siku ipite uje na hoja ya kutaka kingine kizuri kifanyike, huwa mnaponda zuri lolote linalofanywa na serikali hii kwa hila na uongo.

Mtaumbuka sana wachawi wa nchi hii.

 
Wapi Dar watoto wanakaa chini wewe?
Heheheheheeee bora ww Mkenya umemuuliza akuoneshe ni wapi Dar wanafunzi wanakaa chini na akuwekee evidence kuwa ni 2020, au huenda amemaanisha wanakaa chini huko makwao na co shule.
 
Tatizo mfumo na wizara na waziri husika kapwaya wewe tazama usafi jiji la Dar umerudi kama zamani takataka kila kona magari ya taka hayazoi taka kama zamani sijui mkuu wa mkoa anafanya kazi gani sikuizi labda yupo bize kwenya mali zake
Vipi kuhusu Rais kuwaruhusu street vendors wafanye shughuli zao popote.
 
Hawa hawakosekani; kama ingejenga vituo kama hivi kabla yetu ungewaona humu wakikosoa!
 
 
Ukanda wote huu hakuna nchi yenye bus terminal kama hiyo kwanza hata ni nzuri kuliko airport za nchi zingine.
Hizi ndizo tunaita sifa za kijinga!!!! Naona umedandia treni kwa mbele nisaidie chanzo cha habari kuwa ktk nchi a afrika mashariki, TZ, inaongoza kwenye inclusive economy!!
 
Wewe ni mjinga na ni wakuupuzwa ili ubaki na ujinga wako usije kutuambukiza ujinga wako.
Hizi ndizo tunaita sifa za kijinga!!!! Naona umedandia treni kwa mbele nisaidie chanzo cha habari kuwa ktk nchi a afrika mashariki, TZ, inaongoza kwenye inclusive economy!!
Siasa zimekuharibu kiasi kwamba kazi ni kupinga na kubisha kila kitu,

Kuhusu inclusive economy angalia hii screenshot uliyojibiwa hapa ukajifanya huoni.
 
I realized Tanzanians take bus terminals very seriously, i don't understand whyπŸ™„πŸ™„. Anyway, to each their own.
Kwanini airport zinachukuliwa serious pia? Kuna tofauti gani kama maeneo yote ni ya kuabiri abiria au you take airports seriously sababu most of the users are foreigners? Then you don't care for your common people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…