Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
Bro, kampuni nyingi zipo Dar, huko mikoani ni matawi tu, ki takwimu, kwa, kila ajira 10,8 zinatoka Dar, ukimaliza chuo, baki/nenda Dar kama unatafuta ajiraKuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?????
Amesomea nn?Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
Huko ni mkoaniDodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye private sector ni ngumu sana???
Sure, haswa kazi za kutumia nguvu kidogo na kutokwa jasho, mimi hadi zimenizidia.Kazi ,zilivyo nyingi huwa nashangaa mtu anatafuta kazi🤔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niunganishe basiKazi ,zilivyo nyingi huwa nashangaa mtu anatafuta kazi🤔
Mtu kutafuta kazi na hapati kwenye taifa letu ambalo ni changa na bado vingi havijafanywa ni ugoigoi, labda aseme anachagua kazi na ajapata🤔Sure, haswa kazi za kutumia nguvu kidogo na kutokwa jasho, mimi hadi zimenizidia.
Nikuunganishe kwani hapo ulipo hakuna shughuli yoyote ya kufanya mkuu? Au upo Jupiter mkuu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niunganishe basi
Kweli nipe connection tumsaidie dogoKazi ,zilivyo nyingi huwa nashangaa mtu anatafuta kazi🤔
Hii inaweza kuwa sababu yenye mashiko kabisaBro, kampuni nyingi zipo Dar, huko mikoani ni matawi tu, ki takwimu, kwa, kila ajira 10,8 zinatoka Dar, ukimaliza chuo, baki/nenda Dar kama unatafuta ajira
Sina dataKuna Private Organizations ngapi?
Yani kupiga kazi mpka apewe connection? Alipo achape kazi ambazo wengine wanazifanyaKweli nipe connection tumsaidie dogo
Sawa, Basi kama huna data huenda ikawa zipo chache sana kulinganisha na DemandSina data
Kazi ,zilivyo nyingi huwa nashangaa mtu anatafuta kazi
SureHapo umenena mkuu. Kwa mfano mie KAZI yangu natafutwa sitafuti
Shida ya wasomi wetu hawajui kutofautisha kati ya ajira na kazi.Yani kupiga kazi mpka apewe connection? Alipo achape kazi ambazo wengine wanazifanya