Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

Mtu kutafuta kazi na hapati kwenye taifa letu ambalo ni changa na bado vingi havijafanywa ni ugoigoi, labda aseme anachagua kazi na ajapataπŸ€”
hatupendi kujishugulisha nakutumia nguvu na jasho
 
Ukitaka kazi nenda
1 Dar
2 Dar
3 Mwanza
4 Arusha

Uko kwingine labda ukafanye kazi sheli
 
Unapataje kazi jangwani kirahisi? Kanyweshe maji ngamia
 
Huo ni mji wa serikali, ni wa mashirika na taasisi za serikali, sekta binafsi Mwanza, Dar, Arusha
 
Dom ni construction site Kila sehemu Kuna ujenzi,Kwa nini kazi akose? Au anatafuta za kuwa baharia? 😁😁
 
Mambo ya mtandaoni bhana Kila mtu mjuaji asee, ukifatilia huu Uzi unaeza jiona fala .....ukweli mtaani kazi hamna yaani hadi saidia fundi inahitaji kujuana....yote hii inatokana na mfumo mbovu wa elimu yetu,yaani elimu ya Tanzania ni hovyo haimpi mtu skills za endapo hujaajiriwa ni nini kifate...shame.
 
Dom ni construction site Kila sehemu Kuna ujenzi,Kwa nini kazi akose? Au anatafuta za kuwa baharia? [emoji16][emoji16]
Bahati nzuri nazungukia karibu kila mahali penye miradi mikubwa ya ujenzi..

Mtawalaumu vijana bure tu.. kama hakuna anaekufahamu kwenye hizo site, kupata kazi ni ngumu sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…