The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 705
- 1,082
Subira mpk saa 6 na nusuMishahara vipi uko jamani kuna jipya...
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subira mpk saa 6 na nusuMishahara vipi uko jamani kuna jipya...
Ila tumia fursa wakuwekee bundle, unajifanya itakata sasa hivi wakati wanaangaliaNakushukuru sana, Wana Buzilankende wote watapata habari Moja Kwa Moja Toka Dom
Na mie maisha hayo nimewaachia wenyewe mkuu ila nimetumia tu haki yangu ya kutoa maoni baada ya kuona kwa zaidi ya miaka 5 watu hawaongezewi mshahara wakati ni haki yao.Mimi nadhani Maisha yao waachie wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila tumia fursa wakuwekee bundle, unajifanya itakata sasa hivi wakati wanaangalia
🤣🤣🤣Rais akishataja Urusi na Ukraine mmekwisha.😂😂😂😂
hujui hata maana ya uzalendo juha weweMama usiwaongoze wafanyakazi mishahara waache tamaa wawe wazalendo!
Ni pekeji tu MkuuIyo pekeji ni ongezoko la asilimia ngapi itakuwa?
Maamehe tu hajui alitendalohujui hata maana ya uzalendo juha wewe
wengine hata hizo kazi hawajaanza bado.. wapo makwaoMaamehe tu hajui alitendalo
😀Rais akishataja Urusi na Ukraine mmekwisha.😂😂😂😂
Mlio kwenye luninga vipi hukoTunasubiri ujumbe.
Kha..Hawa TUCTA wanachekesha kiwango cha chini milioni 1.1 hiyo ni ndoto kwa sasa .