wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hii kwaya wametisha sana.
Chuo cha utumishi umma hakika mnatimiza wajibu wenu ipasavyo.
Hongereni sana.
Chuo cha utumishi umma hakika mnatimiza wajibu wenu ipasavyo.
Hongereni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe subiri siku ya Saba Saba(siku ya wakulima) ukalilie ongezeko la Bei ya mazao, sisi tuache tulilie nyongeza ya mshahara, unadhani Kila mtu akiacha kazi kisa kuogopa kudai masrahi mazuri nani atalitumikia taifa letu?Dawa ya kupata mshahara mkubwa ni kuacha kazi na kwenda kufanya kazi nyingine, namaanisha usiache kazi kwenda kutafuta kazi nyingine bali tafuta kazi nyingine ukipata kazi andika 30 days notice kisha nenda kafanye kazi mpya, shida watumishi wengi wa serikali wanataka wakae serikalini mpaka wastaafu...ifike mahala unafanya kazi miaka 5 unatimka sehemu nyingine kutumia uzoefu wako sio unakomaa tu serikalini unasubiri huruma ya Rais ya Mei Mosi na akiingia mjuaji hakuna kupandisha mshahara hata miaka 5 kama kwa Rais aliyepita. Na akicheza vizuri na akili za wananchi anawashinda maana watumishi wa serikali hawazidi million 1 kati ya Watz 55million.
Hii kwaya wametisha sana.
Chuo cha utumishi umma hakika mnatimiza wajibu wenu ipasavyo.
Hongereni sana.
Watumishi kila hotuba ya mei mosi wanadai nyongeza ya mshahara tu.
Ila je madai yao yanaendana na kiwango tunachokizalisha kama Taifa.
Maana isijekuwa kila tunachopata kinamwenda kwenye kilipana posho na mishahara tu.
Maendeleo hakuna.
Tugawane keki ndogo tunayoioata kwa kutumia busara.
Kuwa na heshima huyo si mkoloni ni MTANZANIA mwenzakoHakuna kikubwa na cha ajabu atakachofanya kwa wafanyakazi wa Tanganyika huyo mkoloni kutoka Zanzibar
Kama hela nyingi anapeleka sehemu ndogo kama Zanzibar je hiyo ya kuwaongezea watanganyika mishahara kwa rate za maana ikowapi?
Tayari wamepigwa baoMama anatupanga
Sawa kabisa. Naona kuna dalili za Watumishi kupigwa hapa!Tupo kwenye matuta mkuu