Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

Atanasio Malenda anaingia kwenye daraja la Hamza

Wamekufa kishujaa
 
Mpumzike kwa amani polisi wetu,ni kheri ufie kazini wakati ukitetea usalama wa raia na mali zao kuliko kufia kitandani. Ndugu zangu watanzania kheri wafe askari wawili ila nae amekufa, raia jambazi mwenye silaha ya moto ni hatari kuliko huo uhai wa hao asikari wawili waliojitoa mhanga kuokoa maisha ya watanzania zaidi ya milion65. Hao majambazi ndio wasafirisha dawa za kulevya,watekaji,wanyang'anyi na ni wahujumu uchumi. Nitoe rai kwa serikali, toeni fadhira kwa familia za maaskali waliochagua kufa kuitetea taifa. Mmevitendea haki viapo vyenu asikari wetu RIP.
 
 

Attachments

  • IMG-20241218-WA0035.jpg
    73.8 KB · Views: 5
Kumeanza kupambazuka
 
kwanini hakuua wote maaneeneer , hata aibu hawaoni eti walienda kumkamata usiku wa manane, nadhani dawa ndio hii mpaka waanze kuheshimu watu, maana hao jamaa wanajikuta sana.
Are you sure police wakiweka gear zao chini na wahalifu wakajua hawataguswa utakuwa kwenye nafasi ya kuandika upuuzi huu,utaweza kulala ucku na ukajamba kama kawaida yako?.Chuki yako dhidi ya police inaashiria yafuatayo either ulidhulumiwa/kuonewa na askari,mfuata mkumbo wa wanasiasa au muhalifu.Msitutoe kwenye reli na agenda zenu za kipumbavu kiasi cha kubariki uhalifu wa aina yoyote kisa tu una chuki na police.
 
Uandishi wako unaonesha kabisa we polisi.
 
wee polisi na hao wenzio wote umbwa tu tena omba mwana familia yako hata mmoja asije kurithi kazi zenu hizo za kuua wenzenu, huna weledi wa kuja kuvamia huu uzi na makasiriko yako ya kipolisiisiiemu hapa, angalia takwimu uone kama hata asilimia 1 ya watanzania kati ya 100 wana imani hata chembe na nyie umbwa, walaaniwa wakubwa, yaani mnaua wenzenu kama kuku mtegemee watu wakae kimya? Nonsense.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…