Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

Kawanyoosha ***** zao
 
Sasa ntabishana na muuza/mvuta bangi kama wewe.Jina lako tu lina akisi akili ulizo nazo.
 
Wamekufa Kwa mshahara wa 500k
Sasa ulitaka walipwe milioni ngapi kwa nchi masikini kama tz,tuwape moyo askari wetu wanafanya kazi kubwa pamoja na mapungufu ya wachache wao,, kuna vikosi kazi vya polisi navifahamu,aisee wanapambana sana sana,kukosa wao nadhani mtaani kusingekarika,na sisi walevi huko maBar tungeporwa pesa kila siku.
 
Sababu police ndo wanavyoandikaga? Au umeona nimeguswa?.kimsingi lazima tukubali Police wana mapungufu mengi especial linapokuja swala la utoaji wa haki bila kutoa pesa.Lakini hatuwezi fika point ya kuwashangilia majambazi kisa wameua police.
Hii ni kweli KABISA...
 
Haijalishi alikuwa mwizi ama laa simtetei lkn kitendo cha hao policcm kwenda kuwa malaika wa ulinzi ni jambo jema kwangu.
 
Ni bora raia tujipange kuliko kuwa na wahalifu wenye sare na kodi zetu zikiwalipa mishahara.
 
Mkulima, Mkazi wa kijiji cha Msagali aliyekuwa anatuhumiwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha ambapo alilkuwa amemjeruhi Yohana Lameck na kumpora kiasi cha Tsh. milioni “
Hizo milioni zitajwe ili kukamilisha habari
 
kama ni mechi basi matokeo ni mbili kwa moja
 
Daaaah pumzika kwa Amani jirani yangu Alfred John, aisee alikuwa ni kijana mpole mno japo nilimuona kwa mwezi mmoja pale mpwapwa nimeumia sana [emoji24]
Upole wake ni danganya toto, kumbe Jambazi. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…