Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Mange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wote ni Wagonjwa ndio sababu imeletwa Bima ya Afya kwa WoteHata kutazama na ongea yake tu jamaa ni mgonjwa anajikaza tu
Hawa wa Luther king ndo wanaoleta chokochoko kisa zamu yetuUjue itakuwa La Mitume vs Luther King 😂😂
Bakuata wanazoom tu!
AminaBaba ....So happy to see him!Mungu akutunze,akulinde na akuepushe na kila baya.Uishi sana Dr.Mpango.
Akubali tu kuwa alienda gereji, sio aibuWatanzania wote ni Wagonjwa ndio sababu imeletwa Bima ya Afya kwa Wote
Afanyiwe operation ya koo halafu anyonge tai!.Mkuu karejea nchini leo na moja kwa moja akaenda kanisani pale pale airport ya Dodoma. Unajua kwanini katua Dodoma moja kwa moja? Pia ni kweli kuwa alikuwa nje ya nchi ila ni kwa matibabu. Mimi ninachojiuliza kwani kuugua ni dhambi mpaka wafiche?
Kweli limewashuka. Aibu yao kabisa. Tumesali naye leo parokia ya K- ndege Dodoma misa ya pili. Nimefurahi sana kumuona. MUNGU endelea kumlinda, ili wanaomtakia mabaya waendelee kuaibika.Awa Ndo Akina Kigogo limewashuka shwaaaa
Akubali kwa nani sasa?Akubali tu kuwa alienda gereji, sio aibu
Huu uzi ufungwe sasa...Watanzania wote ni Wagonjwa ndio sababu imeletwa Bima ya Afya kwa Wote
Operation siyo lazima kupasuliwa!Afanyiwe operation ya koo halafu anyonge tai!.
P
Uzi ufungwe Kwa comment hii.Hata Yesu alifichwa Misri kumkwepa Herode
Wapi nimesema alifanyiwa operesheni ya koo? Mpango aliondoka kwenye ziara mkoa wa Njombe kimya kimya akaenda Ujeruman kutibiwa baada ya kitu fulani (Sitakitaja) kwenye mwili wake kubadilika ghaflaAfanyiwe operation ya koo halafu anyonge tai!.
P