Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

Mmoj
Tupe ushahidi kuwa ni leo!

Mmojawapo ni wewe. Ushahidi gani wakati picha unaziona. Tuliosali naye leo misa ya pili, parokia ya K-ndege dodoma ni ushahidi tosha. Yamewashuka kabisa. Na mkome. MUNGU endelea kumlinda . Mliomzushia msipotubu mtatangulia nyie. Sura zimewasinyaa.
 
Akubali kwa nani sasa?
Anyamaze, dunia ya sasa haina nafasi ya uongo.
Anaweza kutajiwa hosp. Alipokuwa anatibiwa, ugonjwa hata daktari wake.

Mambo mengine kama kiongozi unayanyamazia tu.

Ameahau corona ilivyomdhalilisha?
 
Carbon Markets
Alipaswa awepo Dubai COP28 Frontline...But hatukumuona huko.....
Carbon Markets in Africa ni GIZA TORORO....mbwa mwitu katika kundi la Kondoo

Mseminarist watu wamefurahi kukuona wana matumaini KWAKO....
 
bongo kuna watu wa ajabu sana!
mnalazimisha mpaka vifo?
mnahoji kabisa imekuaje kuaje mpaka yupo hai!?

sasa hata kama anaumwa wakificha wana halali mana kwa roho hizi! aisee nyi watu wachawi!
 
17 I will not die but live, and will proclaim what the LORD has done.
Zabuti ya 118.
Badala ya kupunguza maswali nukuu kama hii inaongeza maswali.
Kazi maalum. Toka lini kiongozi akaenda kufanya kazi maalim kimya kimya? Kwani yeye TISS?
Pia ametuondoa wasiwasi kwamba yenye siyo robotoid.
Mtu ametoweka,hataki kusema kusema alikwenda wapi,lakini sasa anatuondoa wasiwasi kwamba yeye siyo robotoid.
 
Mshana Jr leta mishumaa mingine
 
Mkutano wa COP28 Dubai....unganisha nukta...nisome kwa jicho la tatu
 
Wapi nimesema alifanyiwa operesheni ya koo? Mpango aliondoka kwenye ziara mkoa wa Njombe kimya kimya akaenda Ujeruman kutibiwa baada ya kitu fulani (Sitakitaja) kwenye mwili wake kubadilika ghafla
Dah! Life haliko fear mwanangu, tukaze tu hivyo hivyo,
 
Kama kichwa cha thread kinavyojisleza

Uungwana ni Vitendo ombeni radhi kwa PM

Ahsanteni sana πŸ˜„
 
Picha ya kurejea nchini mbona ipo mkuu
 
Mimi hata simtakiagi mtu kifa hata awe adui yangu.
Ukweli ni kwamba anajidhalilisha.

Kitendo cha kuonekana hadharani kilitosha kutoa ujumbe.

Mtu mkubwa kama yeye kujibu mapigo hana tofauti na ASHA NGEDEREπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mamajusi wakapita njia nyingine hawakurudi kwa Herode!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…