Unaongea kama Mwajuma ndala ndefu kwa mipasho.Yaani nyie mmzushie wee, halafu eti yeye any ama ever tu. Mbona nyie hamkunyamaza. Yamewashuka kabisa, mnakuja na makadiriko. Evil people, shame on you.
DodomaKwani Yuko wapi huyo unaemsema?
Kwani chedema ndio kigogo?kumekucha, subiri chadema waje
TusifikieTufikie au tusifikie
Kweli limewashuka. Aibu yao kabisa. Tumesali naye leo parokia ya K- ndege Dodoma misa ya pili. Nimefurahi sana kumuona. MUNGU endelea kumlinda, ili wanaomtakia mabaya waendelee kuaibika.
Teremsha hasira, utajiambukiza pressure.Mmoj
Mmojawapo ni wewe. Ushahidi gani wakati picha unaziona. Tuliosali naye leo misa ya pili, parokia ya K-ndege dodoma ni ushahidi tosha. Yamewashuka kabisa. Na mkome. MUNGU endelea kumlinda . Mliomzushia msipotubu mtatangulia nyie. Sura zimewasinyaa.
Mkuu embu tuone hizo picha za 2020Wakkikujibu unitag. Hizi ni picha za 2020
Kwani ni ya lini labda?
Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!!
Kama mnadhani mtafanikiwa kama mlivyofanikiwa kipindi kile basi safari hii mmechemka Mungu wetu hawezi kuruhusu hilo liwe labda atake yeye
Hii tabia ya kuzushia watu vifo siyo nzuri hata kidogo!! Na ingekua ni busara hawa wahuni washughulikiwe humo humo ndani ya chama na mtandao wao!!Lakini inakua ni vigumu maana wana mizizi kila mahali.
=======
Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Mapadre mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ktk Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Jumapili leo Desemba 10, 2023. Ibada hiyo imeongozwa na Padre Dionis Paskal Safari.
Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa ibada hiyo, Dk Mpango amewaasa Watanzania kutumia vema mitandao ya kijamii.
Amesema matumizi yasiofaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa yakiumiza watu wengi hivyo yampasa kila mmoja kutumia vema pamoja na kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu.
Makamu wa Rais amewashukuru waumini hao kwa kuendelea kumuombea ili aweze kutekeleza vema majukumu yake.
View attachment 2838329
View attachment 2838453
Kaka code ime eleweka, Kumbuka hata jemedari aliye tutoka.Asante Mungu!, maana...!.
Ila pia sisi Matomaso tupo!, kwa vile tulielezwa kuwa yupo nje ya nchi kikazi, tulitegemea picha ya kwanza ni picha ya akirejea nchini.
Picha ya pili ni VP akiwa popote kufanya lolote ni kumwakilisha rais, hivyo tulitegemea siku akirudi, apokelewe, aonekane akitoa mrejesho wa safari kwa aliyemtuma!.
Kama hii picha ni kweli ni ya leo, inamaana jana VP alikuwa Dodoma!, hivyo alitarajiwa kuonekana pale uwanjani kwenye maadhimisho ya uhuru!.
Anyway, kitu muhimu ni tumemuona yuko bukheri wa afya, tena amenyonga tai, hivyo kumaanisha hata ile taarifa kuwa ana hali fulani ni uzushi!, ingekuwa kweli, asingenyonga tai leo!. Hata hivyo asante kwa hii picha roho zetu zimetulia, ngoja nipitie meta data za hii picha kuithibisha ni ya leo!. Nimethibitisha
View: https://youtu.be/wytTpiQr4HA
Asante tena.
P
Kuwa kana Tomaso sio sifa njema; usifikiri kuwa Yesu alifurahishwa na Tomaso kutoamini ufufuko wake. Tomaso kutoamini kuwa Yesu alikufa, inaonyesha, hata mafundisho yake (Yesu), alikuwa hayaamini, maana habari za kufa na kufufuka kwa Yesu zilienezwa hata kabla Yesu hajakufa. Hivyo, tusidhani kuwa Yesu alifurahi alopomwambia Timaso aje kutia vidole vyake kwenye kovu za vidole vyake ili kuhakikisha kuwa ndiye Yesu aliyekufa. Heri yao walioamini pasipo kuona!Asante Mungu!, maana...!.
Ila pia sisi Matomaso tupo!, kwa vile tulielezwa kuwa yupo nje ya nchi kikazi, tulitegemea picha ya kwanza ni picha ya akirejea nchini.
Picha ya pili ni VP akiwa popote kufanya lolote ni kumwakilisha rais, hivyo tulitegemea siku akirudi, apokelewe, aonekane akitoa mrejesho wa safari kwa aliyemtuma!.
Kama hii picha ni kweli ni ya leo, inamaana jana VP alikuwa Dodoma!, hivyo alitarajiwa kuonekana pale uwanjani kwenye maadhimisho ya uhuru!.
Anyway, kitu muhimu ni tumemuona yuko bukheri wa afya, tena amenyonga tai, hivyo kumaanisha hata ile taarifa kuwa ana hali fulani ni uzushi!, ingekuwa kweli, asingenyonga tai leo!. Hata hivyo asante kwa hii picha roho zetu zimetulia, ngoja nipitie meta data za hii picha kuithibisha ni ya leo!. Nimethibitisha
View: https://youtu.be/wytTpiQr4HA
Asante tena.
P
Hii ni tatizo la subconscious mindKwa nini Watu hupenda kuombea wengine Mabaya hata kama hawajawahi kuwakosea
Nimependa sana hiyo paragraph ya mwishoKuna Wakati waseminari hutumia Lugha mahsusi ili Ujumbe uwafikie wenye Macho ya kuona na Masikio ya kusikia
Dr Mpango amesema alikuwa Kwenye majukumu maalumu, na Hii ilishaelezwa na Waziri mkuu
Dr Mpango anasema ni vema Mitandao ya Kijamii ikatumika Vizuri, ukiangalia uzushi na kuchafuana ndio kumetamalaki Kwenye mitandao na ni juzi tu Katibu mkuu wa CCM alijiuzulu
Hata Yesu aliposema " Naona Kiu" hawakumuelewa
Aliposema " Eloi Eloi ramasbaktani" hawakumuelewa
Na hata aliposema " Imekwisha" hawakumuelewa
Watanzania tujifunze kutumia vizuri tena kwa maadili mitandao ya Kijamii
Unaweza kuuliza fulani yuko Wapi Bila Kumzushia Ugonjwa au Kifo
Ahsanteni sana
Heri Wenye Moyo Safi maana hao Watamuona Mungu!