Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274
Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.

Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma.

Dada wa marehemu, Pendo Mwakibasi, ameeleza kuwa alipigiwa simu na mama yao mzazi kutoka Mbeya saa 8:00 usiku wa kuamkia leo, akiambiwa kuwa mdogo wake amevamiwa nyumbani kwake.

Pia soma: Miili ya wanawake wawili yaokotwa Dodoma

Alipofika nyumbani hapo, aliwakuta mdogo wake na mtoto wake wakiwa katika hali mbaya, wakitokwa damu sehemu mbalimbali za miili yao na wakiwa hawawezi kuongea.

Amesema waliwapeleka hospitali, lakini alihisi mdogo wake tayari alikuwa amefariki. Salma aliwekewa oksijeni na dripu, lakini baadaye wote wawili walifariki dunia.

Snapinsta.app_458511337_466288693066100_333506872300644744_n_1080.jpg
 
Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.

Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma.

Dada wa marehemu, Pendo Mwakibasi, ameeleza kuwa alipigiwa simu na mama yao mzazi kutoka Mbeya saa 8:00 usiku wa kuamkia leo, akiambiwa kuwa mdogo wake amevamiwa nyumbani kwake.

Alipofika nyumbani hapo, aliwakuta mdogo wake na mtoto wake wakiwa katika hali mbaya, wakitokwa damu sehemu mbalimbali za miili yao na wakiwa hawawezi kuongea.

Amesema waliwapeleka hospitali, lakini alihisi mdogo wake tayari alikuwa amefariki. Salma aliwekewa oksijeni na dripu, lakini baadaye wote wawili walifariki dunia.

RIP..
 
Matukio ya kikatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto yameendelea kushamiri Tanzania na hii ni baada ya mama mwenye umri wa miaka 33 na mtoto wake anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 11, wakazi wa Mtaa wa Muungano Kata ya Mkonze Jijini Dodoma kufariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni na mgongoni na kuingiliwa kinyume na maumbile na watu wasiojulikana.

Mama huyo aliyejulikana kwa jina la Mwavita Mwakibasi na bintiye Salma Silvesta wanadaiwa kufanyia ukatili huo usiku wa kuamkia Ijumaa ya September 6,2024.

Akisumulia tukio hilo mtoto wake mkubwa (jina limehifadhiwa) amesema aliamshwa na mdogo wake na kumwambia mama yao anavuja damu ndipo alipopiga simu ya bibi yake ili waweze kupata msaada.

Soma pia: Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Jitihada za kulitafuta jeshi la polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha tukio hilo zinaendelea baada ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo George Katabazi kusema yupo kwenye kikao naatazungumza mara ya baada ya kutoka kikaoni.

Video ipo hapo chini

Wamepiga simu hadi Mbeya ila majirani hawakusikia kabisa!

Hiyo ndiyo Tanzania ambako usiombe yakukute.

Watu kimyaaa!
 
Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.

Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma.

Dada wa marehemu, Pendo Mwakibasi, ameeleza kuwa alipigiwa simu na mama yao mzazi kutoka Mbeya saa 8:00 usiku wa kuamkia leo, akiambiwa kuwa mdogo wake amevamiwa nyumbani kwake.

Alipofika nyumbani hapo, aliwakuta mdogo wake na mtoto wake wakiwa katika hali mbaya, wakitokwa damu sehemu mbalimbali za miili yao na wakiwa hawawezi kuongea.

Amesema waliwapeleka hospitali, lakini alihisi mdogo wake tayari alikuwa amefariki. Salma aliwekewa oksijeni na dripu, lakini baadaye wote wawili walifariki dunia.
Ni Drama
 
Matukio ya kikatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto yameendelea kushamiri Tanzania na hii ni baada ya mama mwenye umri wa miaka 33 na mtoto wake anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 11, wakazi wa Mtaa wa Muungano Kata ya Mkonze Jijini Dodoma kufariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni na mgongoni na kuingiliwa kinyume na maumbile na watu wasiojulikana.

Mama huyo aliyejulikana kwa jina la Mwavita Mwakibasi na bintiye Salma Silvesta wanadaiwa kufanyia ukatili huo usiku wa kuamkia Ijumaa ya September 6,2024.

Akisumulia tukio hilo mtoto wake mkubwa (jina limehifadhiwa) amesema aliamshwa na mdogo wake na kumwambia mama yao anavuja damu ndipo alipopiga simu ya bibi yake ili waweze kupata msaada.

Soma pia: Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Jitihada za kulitafuta jeshi la polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha tukio hilo zinaendelea baada ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo George Katabazi kusema yupo kwenye kikao naatazungumza mara ya baada ya kutoka kikaoni.

Video ipo hapo chini

View attachment 3088669
Ni Drama
 
Mama mwenye umri wa miaka 33 na mtoto wake anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 11, wakaziwa Mtaa wa Muungano Kata ya Mkonze Jijini Dodoma wamefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni na mgongoni na kuingiliwa kinyume na maumbile na watu wasiojulikana

Mama huyo aliyejulikana kwa jina la Mwavita Mwakibasi na bintiye Salma Silvesta wanadaiwa kufanyia ukatili huo usiku wa kuamkia Ijumaa ya September 6,2024.

Akisumulia tukio hilo mtoto wake mkubwa (jina limehifadhiwa) amesema aliamshwa na mdogo wake na kumwambia mama yao anavuja damu ndipo alipopiga simu ya bibi yake ili waweze kupata msaada.

Jitihada za kulitafuta jeshi la polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha tukio hilo zinaendelea baada ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo George Katabazi kusema yupo kwenye kikao naatazungumza mara ya baada ya kutoka kikaoni.

Chanzo: Jambo TV
 
Back
Top Bottom