Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Watanzania siku hizi niwanafiki sana... Majirani wameshindwa toa msaada lakini ukiwakuta wanavyo hadithia tukio utachoka...Wamepiga simu hadi Mbeya ila majirani hawakusikia kabisa!
Hiyo ndiyo Tanzania ambako usiombe yakukute.
Watu kimyaaa!
Siku moja nilikiwa zangu stand ya daladao maeneo ya chanika... Mishale kama ya saa 12 hivi asubuhi... Kule Kuna shida ya sana ya usafiri hasa kwa wanafunzi... Nipo stand gari ikaja mwanafunzi wa kiume akawa anaikimbilia konda alimsukuma vibaya mno... Nusura ateleze aingie uvunguni mwa gari... Maajabu watu wamekausha nadhani walikuwa wanajifanya hayawahusu.... Nilimaindi sana ikabidi nisogee nimuulize konda kwa nini kamsukuma mtoto na je angemuimiza konda anatoa matusi afu watu bado wancheka wanaona kama anafurahisha NILIBADILIKA GHAFLA NIKAMSHIKA YULE MWANAFUNZI MKONO NIKAPANDA NAE KWENYE GARI INGAWA HAIKUWA ROOTI... NIKAJISEMEA HUYU NAENDA NAE HADI MWISHO... NIKAMWAMBIA KONDA UKIONGOEA CHOCHOTE NITAKUTIA MIKONDE HADI USHANGAE... AKANYWEA... GARI IMEEENDA MWISHO WA SIKU AKASHUKIA NJIANI NIKAONA KONDA MWENGINE ANATOKEA NYUMA GARI ANAIUSANYA NAULI.... NIKASEMA BAHATI YAKE... LAKINI YOTE KWA YOTE WATZ WANAFIKI SANA SIKU HIZI