Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma.😭😭😭Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.
Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma.
Dada wa marehemu, Pendo Mwakibasi, ameeleza kuwa alipigiwa simu na mama yao mzazi kutoka Mbeya saa 8:00 usiku wa kuamkia leo, akiambiwa kuwa mdogo wake amevamiwa nyumbani kwake.
Pia soma: Miili ya wanawake wawili yaokotwa Dodoma
Alipofika nyumbani hapo, aliwakuta mdogo wake na mtoto wake wakiwa katika hali mbaya, wakitokwa damu sehemu mbalimbali za miili yao na wakiwa hawawezi kuongea.
Amesema waliwapeleka hospitali, lakini alihisi mdogo wake tayari alikuwa amefariki. Salma aliwekewa oksijeni na dripu, lakini baadaye wote wawili walifariki dunia.
Huko wamewapiku kanda ya kaskazini sahiviDodoma mtupumzishe aiseee
Kuuana imekuwa jambo la kawaida na wanaofanya matukio hayo wanajuwa kabisa hakuna chombo kinachoweza kuwafatiliaNchi inatisha kwa Sasa hadi hatari Kila siku mauaji tena yakikatili ikipumzika mauaji inakuja ajali Kisha kupotea
Mzee wa intelejensia.Kama alikuwa anaishi peke yake huo utakuwa wivu wa mapenzi
Poleni sana.Daah huyu ndugu yangu kabsa mtoto wa Shangazi yangu
Walio tumwa na afande wako wengi Dodoma!Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.