Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

Kwa nini Mungu hakuwalinda wasilawitiwe na kuuliwa?

Mungu kwa uwezo wake alionao angeweza kabisa kuwafanya waishiwe nguvu za kiume hao watu na hivyo kuwaepusha hao wahanga na kulawitiwa.

Pia, Mungu angeliweza kabisa kuzijaza nyoyo zao na wingi wa mapenzi na kuwaondolea chuki iliyopelekea kuwafanya wafanye walichokifanya.

Na kwa nini Mungu hakuingia vichwani mwa hao wauaji na kuwabadili mawazo yao?

Au Mungu alikuwa hawapendi hao wahanga?

Huyo Mungu ana kesi nyingi sana za kujibu….
 
Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma.😭😭😭
 
Haya yote ni matokeo ya uongozi legelege.... Kichwa cha familia kikishakuwa kibovu, familia nzima inakuwa mbovu, kila mtu Kambale

Leo hii hapa nikimtukana Rais vyombo vyote vya usalama vitakuwa busy kunitafuta na wanaweza kunipata ndani ya siku tatu tu. Kasheshe inakuja kwenye watuhumiwa wa mauaji au watekaji, miaka na miaka hadithi itakuwa ile ile ya "tunafanya uchunguzi"
 
Walio tumwa na afande wako wengi Dodoma!
 
Mungu atuepusha na mitihani ya aina hii kama mimi ndo ndugu yangu anafanyiwa haya ningeenda kwetu Pemba tuu natoa uhai na mateso juu mpaka shetani alieshuhudia au binaadamu alieskia na kuhisi angekoma kuzaliwa Shenzii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…