Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

Attachments

Wamelawiti kwanza halafu wakaua,kwanini waliamua kuwalawiti na sio kuwabaka,halafu kwanini baada ya kuwalawiti wakawaua,hapa kuna kitu nyuma ya pazia,hawa sio wahuni tu,kuna kitu nyuma ya hilo tukio,Polisi fuatilieni kwa umakini mtajua tu,hapa kuna kila dalili ya kulipiza kisasi...
 
Dodoma sahv kuna muingiliano wa wageni wengi sana

Ova
Haya mambo yanawezekana huu muingiliano wa watu wa ghafla umesababisha mazito Dom kabla ya serikali kuhamia kina mihanyenye walikua washaridhika na mlenda wao ila baada ya watumishi kuingia na mafedha na ukiangalia jamii nyingi za kina mihanyenye ni duni sana akipata mtu wa kumpa mia mbili mia tatu hadi mumewe anamuona mbuzi maji matokeo yake hayo ,kwa kifupi jamii hiyo haikuandaliwa kupokea muingiliano wa ghafla
 
Maskini wameuliwa kikatili sana. R.I.P
 
R.I.P , niliuliza hapa shida ni nn?mbona watu wamekua makatili hvi jamani!!
 
R.I.P
Kasi ndogo ya vyombo vya dola kushughulikia au kukaa kimya juu ya utekaji, upotevu au mauaji ya watu, raia nao wamezidi kupata ujasiri wa kuteka, kupoteza, kuumiza au kuua raia wenzao!!
Nadhani raia sasa anapaswa kupata mafunzo maalumu ya kujilinda.
 

Tuna wajinga wengi mno takribani kila idara
 
Hii dunia ni kama imefika mwisho. Matukio mabaya Kila siku hadi inatisha.
 
Hivi vyombo vya plastiki

Kweli ukiona silaha ujue usalama ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…