Dodoma: Mapokezi ya Alhad Musa Salum yazua Taharuki, Waislam Wamwandikia barua Mufti

Dodoma: Mapokezi ya Alhad Musa Salum yazua Taharuki, Waislam Wamwandikia barua Mufti

Hakuna Hoja Zaidi Majungu
Utaratibu Wa Police Unajulikana Ni Huduma Unalipia Unapewa Escort Sasa Maulid
Analeta Uchochezi Kwenye Imani

Mufti Atoke Hadharani Azungumzie Pikipiki Ama Hiyo Escort
Hahaha
 
Wivu tu,mbona yeye alikuwa anaenda kusomea vichwa vya habari vya magazeti ulaya tena akiwa hata hasikiki vizuri na hakuna aliyemchongea kwa mabosi zake?

Alifikiri wasikilizaji walilipenda lile jambo?by the way naomba anayejua anifafanulie nini maana ya MAAMUMA?
 
Tusubiri wajumbe wa Baraza la ULAMAA Watufafanulie.... Ila ishu ya kusomea amgazeti ulaya tena kwa whatsap call ilinifikirisha sana sana, nikafikiri ni wivu wangu tu kumbe kuna wengi walikerwa na lile jambo. Kwasababu hakuwa anasikika vizuri nikasema kulikuwa na haja gani wasisomee tu waliopo studio kwa wakati huo
 
Aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam , Musa Salum , ametua Dodoma ambako amepata mapokezi Makubwa vikiwemo ving'ora vya Polisi huku akisindikizwa na msafara wa Magari na lundo la Pikipiki .

Haifahamiki ameenda Dodoma kufanya nini .

Bali Malalamiko ya Waislam waliomlima barua Mufti ya kutaka afafanue sababu hasa ya Musa Salum kupokelewa na msafara mzito , yanasema hivi , KWANINI MTU MAAMUMA ASIYE NA CHEO CHOCHOTE KUPOKELEWA KIHESHIMA NAMNA ILE UTADHANI NI KIONGOZI WA DARJA LA JUU ? Je hii si dharau kwa Baraza la Ulamaa na Mufti Mwenyewe ?
Je anegapa mapokezi ya kuzomewa wangemwandikia Mufti?

Mungu awassidie
 
Kwani nje ya cheo alichokua nacho hana hadhi yake binafsi ? Amepokelewa kama Musa Salum hajapokelewa kama Sheikh wa mkoa hizi complications nyingine hazina umuhimu sana. Mtu amekabidhi ofisi mnataka aishi kinyonge ?
Kweli ujinga ni mzigo mkubwa, yaani mtu anapokelewa kwa resources za walipa kodi, ikiwemo wewe lakini unaona ni sawa tuu? Mbona wewe hupokelewi na ving'ora?
 
Aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam , Musa Salum , ametua Dodoma ambako amepata mapokezi Makubwa vikiwemo ving'ora vya Polisi huku akisindikizwa na msafara wa Magari na lundo la Pikipiki .

Haifahamiki ameenda Dodoma kufanya nini .

Bali Malalamiko ya Waislam waliomlima barua Mufti ya kutaka afafanue sababu hasa ya Musa Salum kupokelewa na msafara mzito , yanasema hivi , KWANINI MTU MAAMUMA ASIYE NA CHEO CHOCHOTE KUPOKELEWA KIHESHIMA NAMNA ILE UTADHANI NI KIONGOZI WA DARJA LA JUU ? Je hii si dharau kwa Baraza la Ulamaa na Mufti Mwenyewe ?
Naona unataka kujaribu kuwafananisha viongozi wa kiislam na akina gwajima, mzee wa upako, mwamposa etc,, lkn inakataa.
Acha unafiki hebu tupia walau picha tuone huo msafara wa ving'ora na pikipiki na sie tuone. Huku kwenye uislam hakuna mbwembwe sijui za misafra mirefu na ving'ora na mapikipiki mengi kama huko kwenu hata uwe msafara wa muft.
 
Back
Top Bottom