DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
- Thread starter
-
- #21
HahahaHakuna Hoja Zaidi Majungu
Utaratibu Wa Police Unajulikana Ni Huduma Unalipia Unapewa Escort Sasa Maulid
Analeta Uchochezi Kwenye Imani
Mufti Atoke Hadharani Azungumzie Pikipiki Ama Hiyo Escort
Zinawavunja moyo hata wenye nia njemaHizi imani zinaleta mkanganyiko mkubwa.
Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake
HakikaZinawavunja moyo hata wenye nia njema
Tusubiri wajumbe wa Baraza la ULAMAA Watufafanulie.... Ila ishu ya kusomea amgazeti ulaya tena kwa whatsap call ilinifikirisha sana sana, nikafikiri ni wivu wangu tu kumbe kuna wengi walikerwa na lile jambo. Kwasababu hakuwa anasikika vizuri nikasema kulikuwa na haja gani wasisomee tu waliopo studio kwa wakati huoWivu tu,mbona yeye alikuwa anaenda kusomea vichwa vya habari vya magazeti ulaya tena akiwa hata hasikiki vizuri na hakuna aliyemchongea kwa mabosi zake?
Alifikiri wasikilizaji walilipenda lile jambo?by the way naomba anayejua anifafanulie nini maana ya MAAMUMA?
kitenge naye kaiweka tu kama mimiNani Kitenge ndio Waislamu wote!!? Kitenge anamatatizo yake.
Je anegapa mapokezi ya kuzomewa wangemwandikia Mufti?Aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam , Musa Salum , ametua Dodoma ambako amepata mapokezi Makubwa vikiwemo ving'ora vya Polisi huku akisindikizwa na msafara wa Magari na lundo la Pikipiki .
Haifahamiki ameenda Dodoma kufanya nini .
Bali Malalamiko ya Waislam waliomlima barua Mufti ya kutaka afafanue sababu hasa ya Musa Salum kupokelewa na msafara mzito , yanasema hivi , KWANINI MTU MAAMUMA ASIYE NA CHEO CHOCHOTE KUPOKELEWA KIHESHIMA NAMNA ILE UTADHANI NI KIONGOZI WA DARJA LA JUU ? Je hii si dharau kwa Baraza la Ulamaa na Mufti Mwenyewe ?
Kweli ujinga ni mzigo mkubwa, yaani mtu anapokelewa kwa resources za walipa kodi, ikiwemo wewe lakini unaona ni sawa tuu? Mbona wewe hupokelewi na ving'ora?Kwani nje ya cheo alichokua nacho hana hadhi yake binafsi ? Amepokelewa kama Musa Salum hajapokelewa kama Sheikh wa mkoa hizi complications nyingine hazina umuhimu sana. Mtu amekabidhi ofisi mnataka aishi kinyonge ?
Jamaa wapo kila kona......unaweza kuta hata hao wenyewe wanaopiga kelele ya katiba mpya kuna watu wao humoHuyo alikuwa mtu wa KITENGO ndo maana nchi hii kupata KATIBA mpya ni ngumu sanaa
Noma sana !Eti mtu maamuma [emoji23]
Unajuaje kama u Sheikh wa Mkoa ilikuwa ni second job?Kweli ujinga ni mzigo mkubwa, yaani mtu anapokelewa kwa resources za walipa kodi, ikiwemo wewe lakini unaona ni sawa tuu? Mbona wewe hupokelewi na ving'ora?
kwa hiyo Katiba mpya itafuta 'kitengo'?Huyo alikuwa mtu wa KITENGO ndo maana nchi hii kupata KATIBA mpya ni ngumu sanaa
Unajuaje kama amezilipia?Kweli ujinga ni mzigo mkubwa, yaani mtu anapokelewa kwa resources za walipa kodi, ikiwemo wewe lakini unaona ni sawa tuu? Mbona wewe hupokelewi na ving'ora?
Naona unataka kujaribu kuwafananisha viongozi wa kiislam na akina gwajima, mzee wa upako, mwamposa etc,, lkn inakataa.Aliyekuwa Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam , Musa Salum , ametua Dodoma ambako amepata mapokezi Makubwa vikiwemo ving'ora vya Polisi huku akisindikizwa na msafara wa Magari na lundo la Pikipiki .
Haifahamiki ameenda Dodoma kufanya nini .
Bali Malalamiko ya Waislam waliomlima barua Mufti ya kutaka afafanue sababu hasa ya Musa Salum kupokelewa na msafara mzito , yanasema hivi , KWANINI MTU MAAMUMA ASIYE NA CHEO CHOCHOTE KUPOKELEWA KIHESHIMA NAMNA ILE UTADHANI NI KIONGOZI WA DARJA LA JUU ? Je hii si dharau kwa Baraza la Ulamaa na Mufti Mwenyewe ?
Hao ni maajent wa Kaunda suti, lakini siyo maafisa.Unajuaje kama u Sheikh wa Mkoa ilikuwa ni second job?