Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Kaangalie population ya miji ya ulaya ndo uje uongee
Mwanza uswazi town 😁😁..

Ona huko nyuma ya hili jengo afu utakuta Hawa kenge eti wanaicheka Mbeya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220912-163045.png
    173.5 KB · Views: 8
Sasa wewe mavi kunuka iyo mwanza Kuna Nini Cha maana uko. Arusha imekosa bahari tu.
We ni fala kama mji kadogo watu kuvaa manguo makubwa bahati haiwezi kukaa kwa watu ambao hawajastaarabika labda moro
 
Mbishane lakini mjue nyie chalii wa R , Mwanza na Dsm sio derby yenu nyie labda mjifananishe na Moro manispaaa. Nimekaa Arusha napajua
Mwanza sio ya kuifananisha na Dar,Dar ndo Jiji pekee Tz, hiyo Mwanza ni kijiji kikubwa tu chenye wenyeji wa local mno.
 
Kuna mswahili alienda USA halafu alivyorudi Dar. Akasema anasikia kama Dar ina harufu fulani mbaya anaisikia kila anakopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mara ya Kwanza naingia dar kutoka mkoani nilikuwa nasikia harufuu za ajabuajabu Hadi hewa nikaiona nzito[emoji23]
 
Jiji ni Dar tu,hivo vingine ni vijiji vilivyo changamka

Which is the biggest city in Tanzania?

Dar es Salaam

Map of Tanzania. Dar es Salaam, largest city in Tanzania. Mwanza, Tanzania's second largest city. Dodoma, capital city of Tanzania.
 
Kwa Mwanza umechemka labda Tanga na Dodoma
 
Kwa Mwanza umechemka labda Tanga na Dodoma
Which is the biggest city in Tanzania?

Dar es Salaam

Map of Tanzania. Dar es Salaam, largest city in Tanzania. Mwanza, Tanzania's second largest city. Dodoma, capital city of Tanzania.


Hiyo miji mingine ikafie mbele huko, labda dom angalau nae anakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…