Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako Mwanza ina miaka 22 toka ipate hadhi ya kuwa jiji ni mji wapili hapa Tanzania kupata hadhi hiyo. Acheni chuki na MwanzaKweli, mwanza pazuri kuliko mbeya lakini bado hapajafikia hadhi ya jiji.
Hapa tunaangalia hadhi yake kwa wakati huu ambayo haionekani kufanana na jiji.Kwa taarifa yako Mwanza ina miaka 22 toka ipate hadhi ya kuwa jiji ni mji wapili hapa Tanzania kupata hadhi hiyo. Acheni chuki na Mwanza
Wapi panafanana na jiji?Hapa tunaangalia hadhi yake kwa wakati huu ambayo haionekani kufanana na jiji.
Kwahiyo baada ya kupewa kwa miaka 22 ndio mmejitahidi kufikia mlipo sasa hivi?
Unataka kusema Arusha Ina hadhi kuliko mwanza..[emoji14][emoji14]kuweni bas seriousHapa tunaangalia hadhi yake kwa wakati huu ambayo haionekani kufanana na jiji.
Kwahiyo baada ya kupewa kwa miaka 22 ndio mmejitahidi kufikia mlipo sasa hivi?
Maeneo mengi ya dar na arusha angalau yana hadhi ya jiji.Wapi panafanana na jiji?
Ndio, arusha ina hadhi ya juu katika maeneo mengi kuliko mwanza.Unataka kusema Arusha Ina hadhi kuliko mwanza..[emoji14][emoji14]kuweni bas serious
Toa uthenge wako hapaMaeneo mengi ya dar na arusha angalau yana hadhi ya jiji.
Sasa wewe mshamba unataka kubisha Nini? Mwanza baada ya miaka mitatu itaachwa mbali na dodomaUnataka kusema Arusha Ina hadhi kuliko mwanza..[emoji14][emoji14]kuweni bas serious
Majiji ni mawili tu Tz...Dar es Salaam na Mwanza kwingine ni miji iliyochangamka tuMimi najua Tanzania ina Majiji 3 tuu nayo ni Dar is Slum,Arusha na Dodoma..
Huko kwingine ni mifano ya Majiji..
Sasa wewe mshamba unataka kubisha Nini? Mwanza baada ya miaka mitatu itaachwa mbali naa dodomaUnataka kusema Arusha Ina hadhi kuliko mwanza..[emoji14][emoji14]kuweni bas serious
We ndo mjinga kabisa wa mwisho ndo maana hujielewi eti olla chuga yaani mwanza unafananisha na upumbavu wa Arusha kapimwe akili.Aise mkuu imeenda mule mulee ..afadhali dodoma unakuja kuja kidogo kwa Kasi ..aise mwanza na tanga hata kuwa halmashauri bado saana achilia mbali manispaa. Mwanza pakishamba Sana aise ..mji hauna vyoo!! halafu Ni jiji dah ..hii serikali yetu sijui inafelia wapi.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Aise mkuu imeenda mule mulee ..afadhali dodoma unakuja kuja kidogo kwa Kasi ..aise mwanza na tanga hata kuwa halmashauri bado saana achilia mbali manispaa. Mwanza pakishamba Sana aise ..mji hauna vyoo!! halafu Ni jiji dah ..hii serikali yetu sijui inafelia wapi.
... hivyo vigezo ni worldwide au ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Mkutano Mkuu inaamua?ya maghorofa kwenye miji.
Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
Tanga na Mbeya tulikurupuka tuNimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Ndio uwezo wako akili umeishia hapo .Sasa wewe mshamba unataka kubisha Nini? Mwanza baada ya miaka mitatu itaachwa mbali naa dodoma