OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa Mwanza nakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza bado sana, haina tofauti na mbeya.Kwa Mwanza nakataa
Mwanza kuko vizuri sana kuzidi Mbeya Kwa mbali sana. Sema wewe ni mbobevu katika ubishi.Mwanza imeizidi nini Mbeya,Tanga au Dodoma?
Mwanza ya hovyo hiyo ambayo haina barabara Wala Vyuo?
Mji umejaa uswazi na slums tupu ndio unasema ni Jiji? Kuwa serious Mzee.
Achana na huyo hayuko sawaMwanza kuko vizuri sana kuzidi Mbeya Kwa mbali sana. Sema wewe ni mbobevu katika ubishi.
Mwanza kwanini iwekewe lengo la aina hiyo. Huo mji bado sana.Nilijua huu Uzi lengo ni kuattack mwanza. Na hyo ishashindikana sasa ..Kwa sababu lies never win over the facts ..
Dawa ya disinformation ni hii[emoji116]View attachment 2351732
Nakazia.Ni matumizi mabaya sana ya neno jiji kuita Tanga ni jiji.
Iwambi ni mixture, kuna kuzuri na uswahilini.Umesàhau iwambi
Mji wa mamwinyi ule, hauna maendeleo yoyote.Hivi lindi pakoje kwani ni kama miji tu ya wilayani au
Ubaya sio lazima utokane na uholela.Marekani hakuna makazi holela
Kweli, mwanza pazuri kuliko mbeya lakini bado hapajafikia hadhi ya jiji.Mwanza kuko vizuri sana kuzidi Mbeya Kwa mbali sana. Sema wewe ni mbobevu katika ubishi.
Haya ni majiji kwa mujibu wa sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio kwa mujibu wa Marekani, China au Japan. Ushatufahamu?Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Ukienda dar hakikisha unafikia maeneo mazuri ili usirudi na komenti kama hii.Bora niwe mshamba naishi decent life na naishi sehemu nzuri,siwezi ishi kwa mafirauni kunakonuka mimi..
Robo 3 ya Dar wanaishi kwa tabu na shida tupu huko kwenye uswazi wenu..
Mvua ikinyesha Kero,jua likiwaka kero sasa hayo ni maisha? Watu wamenenepeana kama vitimoto 😁😁
Nifike au nikaishi? 85% mnaishi kwenye slums na kunakonuka,mkoani hakuna huo uchafu.Ukienda dar hakikisha unafikia maeneo mazuri ili usirudi na komenti kama hii.
Majiji haya kama dodoma yaliyotamkwa tu na mwanasiasa?Haya ni majiji kwa mujibu wa sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio kwa mujibu wa Marekani, China au Japan. Ushatufahamu?
Acha kufikia keko, tandale, kigogo, buguruni na vingunguti utanishukuru.Nifike au nikaishi? 85% mnaishi kwenye slums na kunakonuka,mkoani hakuna huo uchafu.
Kweli, huyu akifika mjini lazima atapata ajali.We hujielewi na usije maana utakuja kugongwa na magari.
Hayo majiji mengine yalitamkwa na nani? Ya Marekani au China huwa yanatamkwa na nani?Majiji haya kama dodoma yaliyotamkwa tu na mwanasiasa?
Vigezo lazima viboreshwe ili hadhi inayotolewa iwe sahihi.
Kwakweli jamaa hajitambui kabisa.Hii sentensi imenisikitisha sana...
Ni laana kuzaliwa Afrika
Yanatamkwa baada ya kukidhi vigezo na sio maongezi ya majukwaani.Hayo majiji mengine yalitamkwa na nani? Ya Marekani au China huwa yanatamkwa na nani?
Yanatamka na nani Dogo? Na unajuaje kama kabla hayajatamkwa yanakuwa hayajakidhi vigezo? Hivyo vigezo unavijua kwanza? Unajua kwanini Chato ilikataliwa kuwa mkoa? Unajua kwanini Moshi ilikataliwa kuwa jiji?Yanatamkwa baada ya kukidhi vigezo na sio maongezi ya majukwaani.