Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Haya ni majiji kwa mujibu wa sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio kwa mujibu wa Marekani, China au Japan. Ushatufahamu?
 
Bora niwe mshamba naishi decent life na naishi sehemu nzuri,siwezi ishi kwa mafirauni kunakonuka mimi..

Robo 3 ya Dar wanaishi kwa tabu na shida tupu huko kwenye uswazi wenu..

Mvua ikinyesha Kero,jua likiwaka kero sasa hayo ni maisha? Watu wamenenepeana kama vitimoto 😁😁
Ukienda dar hakikisha unafikia maeneo mazuri ili usirudi na komenti kama hii.
 
Haya ni majiji kwa mujibu wa sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio kwa mujibu wa Marekani, China au Japan. Ushatufahamu?
Majiji haya kama dodoma yaliyotamkwa tu na mwanasiasa?
Vigezo lazima viboreshwe ili hadhi inayotolewa iwe sahihi.
 
Yanatamkwa baada ya kukidhi vigezo na sio maongezi ya majukwaani.
Yanatamka na nani Dogo? Na unajuaje kama kabla hayajatamkwa yanakuwa hayajakidhi vigezo? Hivyo vigezo unavijua kwanza? Unajua kwanini Chato ilikataliwa kuwa mkoa? Unajua kwanini Moshi ilikataliwa kuwa jiji?
 
Back
Top Bottom