Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Arusha kuku Jiji sawa bt kwa mbeya bado na Tanga mwanza sawa likapewa hazi ya jiji
 
Kwa taarifa yako Mwanza ina miaka 22 toka ipate hadhi ya kuwa jiji ni mji wapili hapa Tanzania kupata hadhi hiyo. Acheni chuki na Mwanza
Hapa tunaangalia hadhi yake kwa wakati huu ambayo haionekani kufanana na jiji.

Kwahiyo baada ya kupewa kwa miaka 22 ndio mmejitahidi kufikia mlipo sasa hivi?
 
Aise mkuu imeenda mule mulee ..afadhali dodoma unakuja kuja kidogo kwa Kasi ..aise mwanza na tanga hata kuwa halmashauri bado saana achilia mbali manispaa. Mwanza pakishamba Sana aise ..mji hauna vyoo!! halafu Ni jiji dah ..hii serikali yetu sijui inafelia wapi.
 
Q

We ndo mjinga kabisa wa mwisho ndo maana hujielewi eti olla chuga yaani mwanza unafananisha na upumbavu wa Arusha kapimwe akili.
 
Mbishane lakini mjue nyie chalii wa R , Mwanza na Dsm sio derby yenu nyie labda mjifananishe na Moro manispaaa. Nimekaa Arusha napajua
 
Aise mkuu imeenda mule mulee ..afadhali dodoma unakuja kuja kidogo kwa Kasi ..aise mwanza na tanga hata kuwa halmashauri bado saana achilia mbali manispaa. Mwanza pakishamba Sana aise ..mji hauna vyoo!! halafu Ni jiji dah ..hii serikali yetu sijui inafelia wapi.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
ya maghorofa kwenye miji.

Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
... hivyo vigezo ni worldwide au ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Mkutano Mkuu inaamua?
 
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Tanga na Mbeya tulikurupuka tu
 
Back
Top Bottom