Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Kaangalie population ya miji ya ulaya ndo uje uongeeHakuna mji wenye population kama ya mwz hauitwi jiji dunian mengjne n
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaangalie population ya miji ya ulaya ndo uje uongeeHakuna mji wenye population kama ya mwz hauitwi jiji dunian mengjne n
Mwanza uswazi town 😁😁..Kaangalie population ya miji ya ulaya ndo uje uongee
Hamna mji mkubwa Duniani usio na slums..kama upo utajeMwanza uswazi town [emoji16][emoji16]..
Ona huko nyuma ya hili jengo afu utakuta Hawa kenge eti wanaicheka Mbeya [emoji116]
Tokyo, Arusha, Toronto..Hamna mji mkubwa Duniani usio na slums..kama upo utaje
Sasa wewe mavi kunuka iyo mwanza Kuna Nini Cha maana uko. Arusha imekosa bahari tu.Q
We ndo mjinga kabisa wa mwisho ndo maana hujielewi eti olla chuga yaani mwanza unafananisha na upumbavu wa Arusha kapimwe akili.
Arusha ,ungalimited [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Tokyo, Arusha, Toronto..
Hii ndo Arusha unayoisemea [emoji2957][emoji2957]Sasa wewe mavi kunuka iyo mwanza Kuna Nini Cha maana uko. Arusha imekosa bahari tu.
Utathibitishaje kama hapo ni arusha?Hii ndo Arusha unayoisemea [emoji2957][emoji2957]View attachment 2355003View attachment 2355004
We ni fala kama mji kadogo watu kuvaa manguo makubwa bahati haiwezi kukaa kwa watu ambao hawajastaarabika labda moroSasa wewe mavi kunuka iyo mwanza Kuna Nini Cha maana uko. Arusha imekosa bahari tu.
Na Wala haihitaji bahari maana mandhari ya Chuga ni zaidi ya Bahari 😁😁..Sasa wewe mavi kunuka iyo mwanza Kuna Nini Cha maana uko. Arusha imekosa bahari tu.
Wewe vuta bangi la kusini utakufa kwa wivu wa Rock CityNa Wala haihitaji bahari maana mandhari ya Chuga ni zaidi ya Bahari [emoji16][emoji16]..
Nairobi haina Bahari mbona Dar ni takataka kwa Nai?
Siwezi ones wivu wa kimji cha hovyo kama Mwanza.Wewe vuta bangi la kusini utakufa kwa wivu wa Rock City
Mwanza sio ya kuifananisha na Dar,Dar ndo Jiji pekee Tz, hiyo Mwanza ni kijiji kikubwa tu chenye wenyeji wa local mno.Mbishane lakini mjue nyie chalii wa R , Mwanza na Dsm sio derby yenu nyie labda mjifananishe na Moro manispaaa. Nimekaa Arusha napajua
Kwa mara ya Kwanza naingia dar kutoka mkoani nilikuwa nasikia harufuu za ajabuajabu Hadi hewa nikaiona nzito[emoji23]Kuna mswahili alienda USA halafu alivyorudi Dar. Akasema anasikia kama Dar ina harufu fulani mbaya anaisikia kila anakopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jiji ni Dar tu,hivo vingine ni vijiji vilivyo changamkaDar and mwanza are the best city in Tanzania, dom nae anakuja juu.
Mbeya, arusha na tanga wangewasubirisha kwanza
Tatizo lako ulifikia uswaziKwa mara ya Kwanza naingia dar kutoka mkoani nilikuwa nasikia harufuu za ajabuajabu Hadi hewa nikaiona nzito[emoji23]
Jiji ni Dar tu,hivo vingine ni vijiji vilivyo changamka
Kwa Mwanza umechemka labda Tanga na DodomaNimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Which is the biggest city in Tanzania?Kwa Mwanza umechemka labda Tanga na Dodoma