Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Naona umechukua picha za kule arusha umeleta hapa.
[emoji2957][emoji2957][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]eti Arusha... Arusha inapata wap nguvu za kuwa hvyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Arusha ndio kuna vitu vizuri ukiondoa dar.

Unatetea mkoa wako hamna kitu nyie mwanza mandhari iko poa sana !!iko fully kama mji ulio kamili
Watu hua hawajui Miki mikubwa na iliyo mwambao wa maji inakuaje, kama ni mji mdogo sawa lakini MWANZA inayozidi ukubwa wa mji na population ya watu baada ya Dar es Salaam mtu eti anaibeza
 
Ni haters tu.hawanaa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…