Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Zinachungulia kama hv [emoji116]Nyumba zinachungulia kutokea milimani pale mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinachungulia kama hv [emoji116]Nyumba zinachungulia kutokea milimani pale mwanza.
Naona umechukua picha za kule arusha umeleta hapa.Zinachungulia kama hv [emoji116]View attachment 2356878View attachment 2356879View attachment 2356880View attachment 2356881
[emoji2957][emoji2957][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]eti Arusha... Arusha inapata wap nguvu za kuwa hvyo [emoji16][emoji16][emoji16]Naona umechukua picha za kule arusha umeleta hapa.
Arusha ndio kuna vitu vizuri ukiondoa dar.[emoji2957][emoji2957][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]eti Arusha... Arusha inapata wap nguvu za kuwa hvyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ona sasa unavyochanganya madesa, yani hizo picha ziwe za Arusha!?[emoji23], Mzee angalia hata landscape ni ardhi yenye rocksNaona umechukua picha za kule arusha umeleta hapa.
Picha nzuri za kutokea mwanza lazima ziwe zimepitia photoshop.Ona sasa unavyochanganya madesa, yani hizo picha ziwe za Arusha!?[emoji23], Mzee angalia hata landscape ni ardhi yenye rocks
Labda Kama tu unachuki na mwanza
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Eti Photoshop ..kiboko ya haters ni hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ...Picha nzuri za kutokea mwanza lazima ziwe zimepitia photoshop.
Naona umeamua kukimbilia picha za mbezi beach.Eti Photoshop ..kiboko ya haters ni hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ...View attachment 2356949View attachment 2356950
hahahahaaaaaaSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini Bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa.
hahahahaaaaaKuna mswahili alienda USA halafu alivyorudi Dar. Akasema anasikia kama Dar ina harufu fulani mbaya anaisikia kila anakopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe huijui MwanzaNaona umeamua kukimbilia picha za mbezi beach.
HahahaNaona umeamua kukimbilia picha za mbezi beach.
Umemkomesha .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji95]
Watu hua hawajui Miki mikubwa na iliyo mwambao wa maji inakuaje, kama ni mji mdogo sawa lakini MWANZA inayozidi ukubwa wa mji na population ya watu baada ya Dar es Salaam mtu eti anaibezaUnatetea mkoa wako hamna kitu nyie mwanza mandhari iko poa sana !!iko fully kama mji ulio kamili
Ni haters tu.hawanaa maanaWatu hua hawajui Miki mikubwa na iliyo mwambao wa maji inakuaje, kama ni mji mdogo sawa lakini MWANZA inayozidi ukubwa wa mji na population ya watu baada ya Dar es Salaam mtu eti anaibeza
Mwanza nyumba zake ziko milimani kule zinachungulia na nyingine zimetapakaa maeneo ya kirumba kuleKumbe huijui Mwanza
Wewe umechanganya za mwanza na arusha.
Kwa hizo picha za mwanza na arusha??Umemkomesha .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji95]
Za Arusha ziko wapi hapo.[emoji16][emoji12][emoji12]unawatia aibu hata watu wa arushaKwa hizo picha za mwanza na arusha??
Zipo, angalia vizuri maana jamaa katumia photoshop.Za Arusha ziko wapi hapo.[emoji16][emoji12][emoji12]unawatia aibu hata watu wa arusha