Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Which is the biggest city in Tanzania?

Dar es Salaam

Map of Tanzania. Dar es Salaam, largest city in Tanzania. Mwanza, Tanzania's second largest city. Dodoma, capital city of Tanzania.
Large city haimaanishi ndio kuna hadhi ya kuwa jiji.
 
Niwe tu mkweli hamna mtu anaeza nambia kitu juu ya jiji la mwanza, acha nionekane tu ngosha+ushamba ila honestly speaking, tofauti na Mwanza hamna sehemu nyingine hapa Tanzania unaweza nishawishi kuishi[emoji16]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hongera kwa kuipenda home ground yako ila wageni tukija hapo ndio tunaona palivyochoka.
 
Kwanza title ya Uzi inaonyesha mtoa post Hana ufahamu au uelewa wa anachokipost ...unaposema zirudishwe kuwa halmashauri..[emoji14][emoji14][emoji28][emoji28] ,,kwamba jiji la dar sio halmashauri,...au huelewi maaana ya halmashauri [emoji16][emoji16]
Vijana was chugga wakishatafuna Gomba/Mkokaa/Mirungi akili zao zinakiwa mavi kabisa. Utabishana nao mpaka ukeshe
 
tatizo huna hela kwahyo ukiendankwenye majini unakaa matakoni au mitaa ile mibovu tembea vizur spend hela ukae sehem nzuri ujiskie uko kwenye majiji[emoji1][emoji1] we unafika mwanza unakaa mabatini wakat wenzako wako kp
 
Mabatini hadi katikati ya mji pale nyamagana hata km 2 hazifiki. Yaani mwanza ni mji wa mabanda.
 
Back
Top Bottom