Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Usikute hata ndege hujawai kupandaSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini Bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute hata ndege hujawai kupandaSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini Bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa.
Labda ulienda vingunguti machinjioni pale.Kwa mara ya Kwanza naingia dar kutoka mkoani nilikuwa nasikia harufuu za ajabuajabu Hadi hewa nikaiona nzito[emoji23]
Large city haimaanishi ndio kuna hadhi ya kuwa jiji.Which is the biggest city in Tanzania?
Dar es Salaam
Map of Tanzania. Dar es Salaam, largest city in Tanzania. Mwanza, Tanzania's second largest city. Dodoma, capital city of Tanzania.
Ukweli mchungu huu.Jiji ni Dar tu,hivo vingine ni vijiji vilivyo changamka
Mwanza ni kijiji chenye ushamba mwingi sana.Kwa Mwanza umechemka labda Tanga na Dodoma
Haina shida boss mie sio wa kufanya Jambo napiga picha kuionyeshea dunia nikiwa nakula utamu Ni mwenyewe naumezea. Uko sawa Mana akili zeetu so varietiesUsikute hata ndege hujawai kupanda
Watu wa mkoani mnapawaza sana dar.Humu kila mtu eti anaishi Dar[emoji3]
Unavyoandika ni Kama vile wewe na familia yako ndo mnaimiliki hiyo darWatu wa mkoani mnapawaza sana dar.
Unateseka ukiwa pande gani ngosha?Unavyoandika ni Kama vile wewe na familia yako ndo mnaimiliki hiyo dar
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Niwe tu mkweli hamna mtu anaeza nambia kitu juu ya jiji la mwanza, acha nionekane tu ngosha+ushamba ila honestly speaking, tofauti na Mwanza hamna sehemu nyingine hapa Tanzania unaweza nishawishi kuishi[emoji16]Unateseka ukiwa pande gani ngosha?
Hongera kwa kuipenda home ground yako ila wageni tukija hapo ndio tunaona palivyochoka.Niwe tu mkweli hamna mtu anaeza nambia kitu juu ya jiji la mwanza, acha nionekane tu ngosha+ushamba ila honestly speaking, tofauti na Mwanza hamna sehemu nyingine hapa Tanzania unaweza nishawishi kuishi[emoji16]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kwamba unakuwa hutembei mzee, ungejaribu kumtafuta mwenyeji akutembeze, nadhani ungebadilisha fikra juu ya huu mjiHongera kwa kuipenda home ground yako ila wageni tukija hapo ndio tunaona palivyochoka.
Nimekaa karibu mwezi mzima hapo hivyo sio mgeni sana. Nimetembea pande zote.Tatizo ni kwamba unakuwa hutembei mzee, ungejaribu kumtafuta mwenyeji akutembeze, nadhani ungebadilisha fikra juu ya huu mji
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Vijana was chugga wakishatafuna Gomba/Mkokaa/Mirungi akili zao zinakiwa mavi kabisa. Utabishana nao mpaka ukesheKwanza title ya Uzi inaonyesha mtoa post Hana ufahamu au uelewa wa anachokipost ...unaposema zirudishwe kuwa halmashauri..[emoji14][emoji14][emoji28][emoji28] ,,kwamba jiji la dar sio halmashauri,...au huelewi maaana ya halmashauri [emoji16][emoji16]
Utani tu ule mkuuHaina shida boss mie sio wa kufanya Jambo napiga picha kuionyeshea dunia nikiwa nakula utamu Ni mwenyewe naumezea. Uko sawa Mana akili zeetu so varieties
Mabatini hadi katikati ya mji pale nyamagana hata km 2 hazifiki. Yaani mwanza ni mji wa mabanda.tatizo huna hela kwahyo ukiendankwenye majini unakaa matakoni au mitaa ile mibovu tembea vizur spend hela ukae sehem nzuri ujiskie uko kwenye majiji[emoji1][emoji1] we unafika mwanza unakaa mabatini wakat wenzako wako kp
Mwanza phobia itakuuaMabatini hadi katikati ya mji pale nyamagana hata km 2 hazifiki. Yaani mwanza ni mji wa mabanda.
Nyumba zinachungulia kutokea milimani pale mwanza.Mwanza phobia itakuua