Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
ISifike Sahemu Binadamu Tukakosa Utu Na Kuwekeana Dhanna Mbaya hasa Katika Vifo Na Maradhi
Matukio Yamauaji Sasa Yamekuwa Tishio Kubwa sana Katika jamii Yetu Tz

Issue Ya Uume Huwenda Kukawa Na Walakini Kuukata Kutupoteza Maboya Ili Kujiaminisha Nifumanizi Nakumbe La
Tuombe Vyombo Vya Ulinzi Nausalama

Kuchunguza Kwaharaka Na Kutuletea Majibu Ya Kuridhisha

Sababu Ukiona Mwenzio Ananyolewa Zako Tia Maji..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
27.12.2019
Dodoma, Tanzania

Kamanda Muroto : Kifo Cha Mkurugenzi wa Shule ya Zamzam, Dodoma

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Muroto atoa taarifa rasmi juu ya tukio la mauaji la mmiliki wa shule ya Zamzam. Uchunguzi wa awali ni kuwa marehemu amefariki kwa moyo kushindwa kufanya kazi yaani heart failure na kwa vile alikuwa pekee yake ofisini alishindwa kupata msaada kuokoa maisha yake
Pia marehemu simu yake ilikuwa imezima kwa kuishiwa charge maana mara baada ya kuwasili kwa usafiri wa basi akitokea Dar es Salaam, alikwenda pamoja na mabegi yake moja kwa moja hadi ofisini kwake mjini Dodoma na ndipo mauti yalimfika. Marehemu alikuwa na umri wa miaka 62, mrangi jina Rashid Bura.

Kamanda Muroto ametoa angalizo kwa vyombo vya habari kuwa makini wanapotoa taarifa bila kuulizia vyombo rasmi kama Polisi au ripoti za Daktari. Akatoa mfano mmoja wa habari alizoona JamiiForums , Magazeti ya HabariLeo, NIPASHE, Mwananchi n.k kuhusu jinsi mauti yalivyomkuta marehemu Rashid Bura, ambazo siyo sahihi.
Source: Millard Ayo

Vyombo vya Habari vilivyoripoti kifo cha mkurugenzi:

https://www.habarileo.co.tz › habari
27/12/2019 - Habarileo

Slain Bura due for burial in Dodoma. DAILY NEWS Reporter in Dodoma. 27/12/2019. 0 Maoni. THE body of Rashid Bura, founder of Dalai Islamic Centre and ..

"Mwili bosi wa Zam Zam kuzikwa Dodoma, utata wagubika kifo chake - Mwananchi" Mwili bosi wa Zam Zam kuzikwa Dodoma, utata wagubika kifo chake

"Former State House guard who died in office to be buried - The Citizen" Former State House guard who died in office to be buried
 
Jaribu kurudi Nyuma, wachangiaji tulichangia kulingana na taarifa ilivyoripotiwa kuwa kachomwa kisu tumboni na kakatwa uume wake na kafungwa kamba, tulichangia Kwa mujibu wa taarifa ilivyo letwa, kwa sasa kuna taarifa hiyo iliyoletwa na RPC kuwa hakufungwa, hakukatwa wala hakuchonwa kisu Kwa hiyo michango yetu kwenye hiii mada Kwa wakuu woote waliochangia manayake nilizima ibadilike haitakuwa Kama ya awali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenyezi mungu ampe kauli thabity huko aendako huu ndo mwisho wetu sote viumbe hai hakuna atakaebakia sote njia yetu ni moja tu haijalishi umekufaje au umeuawa,umekufa mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kabla ya mitandao ya kijamii (social media) kuanzishwa, wanasaikolojia walikuwa na dhana ya ‘saikolojia ya halaiki’ au “mass psychology” kuelezea matukio katika makundi au jumuia za watu..Sasa hivi pamoja na ‘saikolojia ya halaiki’ kuna hii ‘saikolojia ya mitandao’ ambapo mtu anasoma kitu kwenye mtandao na kuamini kwamba ni sahihi kabla ya kufanya utafiti kupata uhakika wa jambo ili waliamini. Wachangiaji wengi hapa wametoa hoja zao na kurusha tuhuma na lawama kwa kuamini kwamba aliyeandika habari hii kaandika ukweli wa jambo hili kumbe ni taarifa potofu ukiondoa ukweli kwamba Marehemu kafia ofisini kwake. Na tatizo hili liko kwenye mijadala mingi sana hapa JF, hasa mijadala ya siasa. Ninashauri tu kwamba wana JF tuwe tunajaribu kupata ukweli wa taarifa zinazotolewa humu kabla ya kushusha hoja zetu kwenye mijadala mbalimbali.
 
Shehe kabisa na ana mke alikuwa anahangaika nini hadi kupatwa kifo cha aibu namna hiyo. Mwweeee
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema chanzo cha kifo cha Sheikh Rashid Bura ambaye ni Mmiliki wa Shule za Zamzam, ni moyo kufeli akiwa Ofisini kwake baada ya kukosa msaada “wengine wanasema alikatwa sehemu za siri, fanyeni uchunguzi"
 
Vyanzo vyenu vya habari vina mushikeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mchuzi wa mbwa utakuwa mjinga sana,, mbona Afande Muroto amekanusha kama alikuwa amevuliwa nguo na kukatwa dudu? Wacha ujinga wewe na ututake radhi!
 
Basi hapo
Basi hapo kazi kwa Polisi wapate DNA ya liquid kwenye condom upande wa nje watajua Dada mhusika ni nani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…