Hiyo ya muuaji kutotaka kanzu iguswe na damu nayo ni pointi muhimu kwenye upelelezi. Kuna "aina" nyingine ya watu hawawezi kujua umuhimu wa kanzu kutokuguswa na damu.No sio dhambi ni kujaribu ku-suspect,wameua kwa kisu,sasa kwa nini wakate uume then wauache hapo hapo,wangeondoka nao ingeleta picha ingine...hawakutaka kanzu iguswe na damu,(why?)posible pia kwa sababu walimfunga kwenye kiti upo uwezekano walimyesa kwanza.sasa je walimkata uume ndipo wakamuua au walimuua kwenza?
Huyo anajidanganya tu ofisini watu wengi hujipakulia tuWewe tema mate chini, ofisini ndiyo kunakuwaga na uchafu wote
Mbona za kina Saanane na Azory hazipatikaniMwanamke akikushinda mwache.... sasa kitakachoendelea ni kuwatafuta waliomuua na waliowatuma wakaue.
Damu ya mtu haipotei hivihivi watapatikana tuu
Kwanini wanakimbilia kwenue uume? Watakua walikua wanamtesa awape info au awajibu mambo flani.
Ngoja polisi wafanye uchunguzi waone kama kuna mali imeibiwa, mkataba umesainiwa au simu yako inasemaje?
Pia shule nadhani patakua na camera, inayorecord matukio hapo wataitumia.
Mbona za kina Saanane na Azory hazipatikani
Hii maana yake ni nini mkuu?Hiyo ya muuaji kutotaka kanzu iguswe na damu nayo ni pointi muhimu kwenye upelelezi. Kuna "aina" nyingine ya watu hawawezi kujua umuhimu wa kanzu kutokuguswa na damu.
Huo mkanda data zote watakuwa wameshazipata kwenye cm. Kwani cm yake ilipatikana si wamesepa nayo jamaa kama waliikuta.Wale hata nguo zao wala mabaki hayajaonekana mkuu. Inawezekana wapo hai
Huyu mkurugenzi imeshajulikana ameuawa kuna pa kuanzia
Kumbuka pia kuna wanaume hawapendi kupigiwa pigiwa simu wala kuulizwa upo wapi mpaka sahizi haujarudi nyumbaniSidhani km udini ni sababu,
Jukumu la mke ni kujua mumewe ameshindaje,ameshatoka kazini,amefika sehem husika na hata muda wa kulala utambue mumeo analala.
Uloyasema hapo ni wale wanawake wa kusema Mimi nu mke huyo Mume ataenda na atarudi mwenye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitumia carbon 14 kugundua hizo siku 5? Why not 3, 4 or 65 days. Wafanyakazi wake wote walikua likizo hata mesenger?
5 days hata mwanafamilia mmoja hajamjulia khali?
5 days hana mke wala mtoto.
Kama aliaga aliwaambia nitazima simu?
Huyu itakua ilikua kawaida yake kutokua na mawasiliano mazuri na familia,ndugu hata wafanyakazi?
Siku hizi huwezi kukaa masaa 5 bila wife au ndugu wa karibu kujiridhisha ulipo.
Huo uume lazima ndio ulimponza sheikh. Tafuteni mahawara wake .
Na inawezekana pia kuvuruga upeleleziKukatwa uume kuna mesej fulani ambayo imejificha kidogo.Uume umekera mtu sana ndio maana umekatwa kwamba unampa kiburi na jeuri.Inawezekana ni mwanamke au mwanamme kamkata uume kote kuna wezekana.
Tatizo hawataki kuajiri ila wataalamu wa finger print tupo,tunaweza kutumia data base ya nidaBongo inahitaji sana kuwa na database ya fingerprints na kitengo bobezi cha forensic
Inawezekanaje anavotoka aliaga kua anaenda dar,kutoka dar Dom hakutoa taarifa kwamba narudi..bado nam napata tabu kidogoMAUBIG,
Poleni sana. Kama nimeelew vizuri ni kuwa unasema kikao kilikuwa Dar na yeye alikuwa Dar. Lakini akaja kupatikana kauwa ofisini Dodoma. Na makazi yake ni Dodoma. Ndivyo ilivyo?
Kama anapotosha umma ... Wewe si weka sawa ......Mtoa mada umepotosha umma! Na wachangiaji wanaendelea kuchangia upotoshaji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize mtoa mada aliuona mwili wa marehemu ama nayeye amehadithiwa na MTU ambaye na yeye pia hajauona!?Kama anapotosha umma ... Wewe si weka sawa ......
Wewe uliyeuona si useme ulikuwaje .... Ujuaji mwingiii .... Bure kabisa .... Kwani kusema haikuwa hivyo ilikuwa hivi na vile utakufa!!??Muulize mtoa mada aliuona mwili wa marehemu ama nayeye amehadithiwa na MTU ambaye na yeye pia hajauona!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikwareManeno ya kitoto.